pole kwa jeshi la polisi ila jeshi la polisi linabidi kujirekebisha utendaji wao wa kazi hizi tabia za kusimamisha gari ghafla ndio madhara yake hayo kama mbunge wa musoma mjini alilisema hili bungeni askari huwa wananjificha halafu anatokea ghafla na kusimamaisha gari .hii tabia inabidi jeshi...
mkuu mie napendekeza fine iwe ni elfu kumi tu kwa kosa lolote na liwe kosa la msingi sio mtu kasahau leseni unamlazimisha kulipa 30,000 kuhusu kuzidisha mwendo serikali kwanza itafute tochi za barabarani za kuzuia kuendesha kasi zitafutwe zenye uwezo wa kuditect speed na picha ya gari kwa ujumla...
Huyu wenje aache kutuhadaa wananchi kwa kuomba muongozo kwa spika kuhusiana na hili sakata la machinga FFu.alikua anafaham kinachoendelea kuhusiana na hii operesheni ya kuondoa machinga vikao vilifanyika na alisaini manake haliwezifanyika jambo lolote kwenye jimbo bila mbunge kufahamishwa...
Mkuu hata mimi nakubaliana na wewe hawa askari wa usalama barabarani wanakula rushwa sana halafu mbaya zaidi wanalazimisha makosa,na kuhusu kuwekewa malengo ni kweli lazima jioni wawakilishe fungu kwa mabosi wao hilo suala la kula vizuri au kunywa chai safi sio mbaya ila iwe kwa wote sio trafic...
hata mie naunga hoja mkono mimi gari yangu iliwahi kukamatwa kwa kosa la kukatisha ruti kesi ikapelekwa sumatra baada ya kufika ktk ofisi zao niloigoma kulipa faini nikawaambia dereva ndio anapashwa kuwajibika kwasababu mie sijamwambia kukatisha ruti na utaratibu anaufaham kwahiyo ilibidi...
mimi account number ya carview corporation nayofaham ni hii hapa 0145398 bank of tokyomitsubish ufj kuwa makini sana na hii mitandao manake na watu wabaya wapo wengi tu kwa msaada zaidi namba yangu ya sim ni 0683853767
mie kwa maoni yangu kigwangala yuko sahihi nasema hivo kwasababu jana niliangalia kipindi fulani tbc kulikua na kipindi kinahusu mambo ya sheria lakini kwasababu nilikuta kimeshaanza sikujua chanzo chake ilikua nini ila nlimuona anna abdallah pamoja na akina mama wengine kuna mwanasheria mmoja...
wewe uliejitambulisha murugalama ulimwenewacu kweli wahangaza wengi wanashabihiana na wanyarwanda na washubi wanashabihiana na warundi ukiangalia ndio wamepakana sana na burundi kwa mfano vijiji kama bugarama mumiramira murusagamba bukiriro keza mganza na kwingineko neno hangaza niliwahi...
majuzi niliandika humu jamvini kuomba kufahamishwa asili ya wahangaza wengine wamechangia kadri wanavyojua wengine wakaponda kwamba mie ni mtutsi najifanya mhangaza kiukweli mimi ni mhanagza wala hilo halina ubishi niliamua kuuliza hili suala la asili ya wahangaza ili niweze kufaham asili yangu...
hawa askari wa usalama barabarani ni wasumbufu sana hata kama gari ina kosa dogo ambalo linahitaji elim wao ni hela tu yani wamekaa kibiashara zaidi kuliko kazi sio mwanza tu ni tanzania nzima ndio maana utakuta wengi ni watoto wa vigogo yani mtu katoka depo moja kwa moja anapewa utrafiki mie...
wewe unaejiita bategereza nafikiri una upungufu wa akili unahitajinkupelekwa milembe kama kitu huna ufaham nacho kaa kimya sio kuandika upumbavu wako huo unaonyesha kiasi ulivyomjinga
Kwahiyo faini ya 60,000/= iko kituo cha buzuruga tu kwingine hakuna mbona vituo vingine hawachaji hicho kiwango halafu hicho kituo ni finyu kiasi kwamba zikifika gari kuanzia kumi kwa wakati mmoja inakua msongamano kama bwana mmoja alivyochangia humu kuna mambo mengine kabla ya kufanyika inabidi...
hawajagoma ili nauli ipande wamegoma kwasababu kwanza stand ya kushusha na kupakia buzuruga ni finyu sana halafu askari wa usalama barabarani wanalazimisha rushwa manake wanashindana kununua magari kwahiyo hata alieanza kazi miezi sita anataka na yeye anunue GX100 hata mie nawaunga mkono hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.