Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

Kwasababu hiyo nchi iko hoi choka mbaya
Ki ukweli mimi hata nikiwa ndani ya nchi iliyoondelea kuliko nchi yangu,najivunia kutokea Tanzania,yaani kuna mtanzania mmoja mwenye asili ya BURUNDI hupenda kujinadi kama msukuma,msukuma ni kabila la mkewe
 
Semeni mchana usiku mtalala. sisi ni wa Tz kama walivyo wamakonde. wamasai. wakurya na wajaluo
Sawa mkuu lakini wacheni makidai ya kitutsi basi. Maana mpaka tunatia shaka kuhusu uzalendo wenu.
 
Wilaya ya Ngara Inakaliwa na Makabila makuu mawili, ambayo ni Wahangaza na Washubi. Wahangaza wanatoka tarafa za Ngara Mjini, Kanazi na Nyamihaga wakati Washubi wanatoka tarafa za Rulenge na Murusagamba. Wahangaza wanashabihiana zaidi na Wanyarwanda kama ilivyo kwa Washubi kushabihiana na Warundi. Kiasili Wahangaza na Washubi ni wenyeji wa Wilaya ya Ngara, hii ni kutokana na mipaka ya nchi yetu japokuwa kuna muingiliano na nchi hizo za jirani kwenye masuala ya ndoa, Imani, Masoko, na mengine kama hayo kitu ambacho ni vigumu kuepuka kwenye mipaka ya nchi yetu. Kuhusu maana ya neno Hangaza, nakuahidi kurudi jamvini mara baada ya kukamata kamusi ya Bibi.
 
Kamuulize bibi yako mzaa baba. Maana bikra katolewa na babu yangu.
Mkuu mbona unatokwa na povu,hujui povu ni bidhaa ya kutengenezea sabuni? kauze viwandani upate pesa badala ya kulimwaga bure hapa jf ebo!
 
Ha,ha,ha,eti Ngoswe.

wewe uliejitambulisha murugalama ulimwenewacu kweli wahangaza wengi wanashabihiana na wanyarwanda na washubi wanashabihiana na warundi ukiangalia ndio wamepakana sana na burundi kwa mfano vijiji kama bugarama mumiramira murusagamba bukiriro keza mganza na kwingineko neno hangaza niliwahi kumuuliza mzee mmoja akaniambia lilitokana na neno ndabangaje kwa maana ya ya nimewafukuza ndio walipofika ngara wakaitwa wahangza na walifukuzwa kwasbabu walikua wakimpinga mfalme mmoja huko rwanda jina silikumbuki
 
NAOMBA MTU ALIE SOMEA SHULE YA MSINGI RULENGE NA KUMALIZA MIAKA YA 1998-KURUDI NYUMA, TUFAHAMIANE THEN TUTAJUA VZR ASILI YA WAHANGAZA. MULAKOZE CYANE.
 
Uliuliza uhuni ukajibiwa kihuni una swali jingine la kihuni ? Kwani wahangaza wamekula chako kipi ? uliza historia ya kabila lako
Mbona mkali?au muangaza waangaza aili yao ni warundi pia ni kabila linalo patikana ngara mpakani mwa burundi na tz mpaka wao kabanga na rusumo mpaka wa rwanda na tz kabila hili linashika namba ya kwanza kwa makabila ya tz kwa uchafu watu hawa ni wachafu ingawa makabila mengi ni machafu na mimi nikiwemo ila waangaza wamezidi
 
Kwa jinsi ya ufahamu wangu Rwanda, Burundi,Ngara,Kigoma hadi biharamlo wale wote ni jamii moja hakuna aliyehama kutoka sehemu fulani kuja sehemu nyingine sema walitenganishwa na wakoloni!!Lakini hawa walikuwa ni jamaa moja ndiyo maana hata kuongea wanaelewana ni lafudhi inayopishana katika baadhi ya maneno.
Hawa watu ni jamii ya warundi hata tabia zinafanana ukiwemo uchafu
 
Back
Top Bottom