Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

majuzi niliandika humu jamvini kuomba kufahamishwa asili ya wahangaza wengine wamechangia kadri wanavyojua wengine wakaponda kwamba mie ni mtutsi najifanya mhangaza kiukweli mimi ni mhanagza wala hilo halina ubishi niliamua kuuliza hili suala la asili ya wahangaza ili niweze kufaham asili yangu kwasabau kuna mzee mmoja niliwahi kumuuliza kuhusiana na hili akaniambia kwamba neno hangaza lilitokana na neno ndkwangaje inasemekana zamani palikuwepo na mfame mmoja rwanda aliwafukuza watu wakorofi ambae inaonekana walikua wanatofautiana nae ndio akawaambia ndabangaje kwa maana kwamba amewafukuza ndio wakaja ngara kwahiyo niliuliza ili niweze kupata ufaham zaidi labda kuna wengine wanafaham zaidi khs wahangaza
 
Wahangaza ni sehemu ya watusi na waha wa Kigoma. Lugha zinaingiliana na tamaduni zinafanana.
 
Bado tu hujapata jibu? Waangaza ni Waangaza wapo hapo kiusahihi kabisa kutokana jiografia ya eneo hilo
 
Hii mipaka tuliyochorewa na wakoloni ndiyo hii leo inayotufanya tubaguane wenyewe kwa wenyewe, miafrika bana!!!
 
Wahangaza asili yao Ureno. walikuja huku miaka ya 1920. wakatafuta ardhi nzuri ndio wakapata hapo walipo.
 
kama wahangaza ni watutsi 100% itakupunguzia au kukuongezea nini wewe ngoswe ?
 
Semeni mchana usiku mtalala. sisi ni wa Tz kama walivyo wamakonde. wamasai. wakurya na wajaluo

Labda nimejibu bila kufikiri!
Mleta mada anauliza Asili,Asili na uraia ni vitu viwili tofauti ndiyo maana kuna waarabu na wasomali wana asili zao ila ni raia wa Tz.maana naona watu wamepaniki.
 
Labda nimejibu bila kufikiri!
Mleta mada anauliza Asili,Asili na uraia ni vitu viwili tofauti ndiyo maana kuna waarabu na wasomali wana asili zao ila ni raia wa Tz.maana naona watu wamepaniki.

Mmmmnnnnhhhh mmmmnnnnhhhh
 
Semeni mchana usiku mtalala. sisi ni wa Tz kama walivyo wamakonde. wamasai. wakurya na wajaluo

Mkuu bategereza.
Nimeandika kwamba Wahangaza/Abahangaza ni kabila la Tanzania. Wengi wakiishi ktk wilaya ya Ngara na Biharamulo mkoani Kagera. Kwamba ni mchanganyiko wa jamii za Kitutsi,Kihutu na Watwa wenye asili za Rwanda na Burundi.

Jamii/makabila mengi ya nchi hii asili yao ni nje ya nchi yetu. Mfano sisi huku Bkb ukichunguza Wahaya wanao ishi ktk wilaya mpya ya Misenye wengi asili yao ni Uganda kutoka ktk makabila ya Abakiga na Abaganda!
 
Laiti Nyerere Angefufuka hivi Watusi sio watu??Khaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Huyo ni mtusi sasa anajifanyaga mhangaza. Sasa ukiuliza utakuta ni mhamiaji haram. Operation kimbunga kaikwepa kimtindo. Anaishi kwa wasiwasi. Tanzania tuna makabila mengi na kuelimishana mambo ya makabila mengine ni jadi yetu. Kwao ututsini hakuna hilo. Wao makabila ni uadui na kuuana. Ndo maana anajihami. Si mhangaza huyo, kwa hiyo so Mtz. Ni mtutsi kwao Rwanda.

Wewe pimbi kabisa,watusi wako burundi,rwanda,congo,uganda sasa unawaita wote ni wanyarwanda? hapo ndipo mnajidanganya kuna wakati mnasema eti wahutu ndio wanyarwanda na watusi si wanyarwanda eti ni wavamizi,sasa tukubali lipi? kwa vyovyote vile watusi wana nchi asilia hawakudondoka toka mbinguni.
 
Wahangaza ni kabila la Tanzania wakiishi zaidi ktk wilaya za Ngara na Biharamulo. Sehemu nyingine unaweza kutana na Wahangaza ni Kigoma,Karagwe na ktk nchi za Rwanda na Burundi! Kabila la Wahangaza linajumuisha jamii tatu ambazo ni Watutsi,Wahutu na Watwa!

Nikweli mkuu,hawa wanao jiita watwa au awatwa,nijamii ya wahutu ambao shughuli zao kubwa niufugaji urinaji wa asali nk,nikabila linalo onekana kama duni kiasi,
 
Hivi watu wakiambiwa asili yao Burundi kwa nini hawapendi?kuna waha kibao Gungu ukiwaambia wao asili yao Burundi wanakasirika why?
 
Back
Top Bottom