Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

Naomba kufamishwa asili ya wahangaza

murusagamba

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
26
Reaction score
13
Wanaukumbi,

Naomba kwa yeyote anaefahamu asili ya wahangaza na neno hangaza maana yake nini?

Majuzi niliandika humu jamvini kuomba kufahamishwa asili ya wahangaza wengine wamechangia kadri wanavyojua wengine wakaponda kwamba mie ni mtutsi najifanya mhangaza kiukweli mimi ni mhanagza wala hilo halina ubishi niliamua kuuliza hili suala la asili ya wahangaza ili niweze kufaham asili yangu kwasabau kuna mzee mmoja niliwahi kumuuliza kuhusiana na hili akaniambia kwamba neno hangaza lilitokana na neno ndkwangaje inasemekana zamani palikuwepo na mfame mmoja rwanda aliwafukuza watu wakorofi ambae inaonekana walikua wanatofautiana nae ndio akawaambia ndabangaje kwa maana kwamba amewafukuza ndio wakaja ngara kwahiyo niliuliza ili niweze kupata ufaham zaidi labda kuna wengine wanafaham zaidi khs wahangaza
 
Kamuulize bibi yako mzaa baba. Maana bikra katolewa na babu yangu.
 
Uliuliza uhuni ukajibiwa kihuni una swali jingine la kihuni ? Kwani wahangaza wamekula chako kipi ? uliza historia ya kabila lako
 
wewe unaejiita bategereza nafikiri una upungufu wa akili unahitajinkupelekwa milembe kama kitu huna ufaham nacho kaa kimya sio kuandika upumbavu wako huo unaonyesha kiasi ulivyomjinga

huyu jamaa kaburi ndiyo ndiyo sehemu sahihi zaidi inayomfaa
 
Wahangaza ambao asilimia kubwa wanapatikana wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera asili ya ni watu kutoka nchi ya Burundi ukiangalia sehem kama Keza,Rulenge, kabanga na sehemu nyingine ni sehem ambazo kuna muingiliano mkubwa wa watu kutoka Burundi.
 
Wahangaza ni pure breed ya watusi, ila ni watz asilia😛hoto:
 
Uliuliza uhuni ukajibiwa kihuni una swali jingine la kihuni ? Kwani wahangaza wamekula chako kipi ? uliza historia ya kabila lako
Kama anataka kuoa Mhangaza hana haki ya kuuliza undani wa kabila la wahangaza??Akiri yako inamatege siyobure umevurugwa!
 
Kwa jinsi ya ufahamu wangu Rwanda, Burundi,Ngara,Kigoma hadi biharamlo wale wote ni jamii moja hakuna aliyehama kutoka sehemu fulani kuja sehemu nyingine sema walitenganishwa na wakoloni!!Lakini hawa walikuwa ni jamaa moja ndiyo maana hata kuongea wanaelewana ni lafudhi inayopishana katika baadhi ya maneno.
 
Huyo ni mtusi sasa anajifanyaga mhangaza. Sasa ukiuliza utakuta ni mhamiaji haram. Operation kimbunga kaikwepa kimtindo. Anaishi kwa wasiwasi. Tanzania tuna makabila mengi na kuelimishana mambo ya makabila mengine ni jadi yetu. Kwao ututsini hakuna hilo. Wao makabila ni uadui na kuuana. Ndo maana anajihami. Si mhangaza huyo, kwa hiyo so Mtz. Ni mtutsi kwao Rwanda.
 
Kwa hiyo mkuu wataka kusema wahangaza ni banyamulenge?
 
wewe unaejiita bategereza nafikiri una upungufu wa akili unahitajinkupelekwa milembe kama kitu huna ufaham nacho kaa kimya sio kuandika upumbavu wako huo unaonyesha kiasi ulivyomjinga

dah jina lako noumer
 
Huyo ni mtusi sasa anajifanyaga mhangaza. Sasa ukiuliza utakuta ni mhamiaji haram. Operation kimbunga kaikwepa kimtindo. Anaishi kwa wasiwasi. Tanzania tuna makabila mengi na kuelimishana mambo ya makabila mengine ni jadi yetu. Kwao ututsini hakuna hilo. Wao makabila ni uadui na kuuana. Ndo maana anajihami. Si mhangaza huyo, kwa hiyo so Mtz. Ni mtutsi kwao Rwanda.

Wahangaza ni kabila la Tanzania wakiishi zaidi ktk wilaya za Ngara na Biharamulo. Sehemu nyingine unaweza kutana na Wahangaza ni Kigoma,Karagwe na ktk nchi za Rwanda na Burundi! Kabila la Wahangaza linajumuisha jamii tatu ambazo ni Watutsi,Wahutu na Watwa!
 
Semeni mchana usiku mtalala. sisi ni wa Tz kama walivyo wamakonde. wamasai. wakurya na wajaluo
 
Back
Top Bottom