Alikuwa anafanya jambo maana sana kutokomeza hizi dini za kigeni kwa maana nyingine alikuwa anawasaidia watu wake waondokane na slave mentality ambayo wengi wenu hadi leo mnaikumbatia mkidhani ndio njia ya kuwafikisha peponi....
Naanza kwa kusema sio kweli kwamba dini zimeleta amani,kwanza kabisa hizi dini mnazoziabudu zisomeni jinsi gani zilianza na kuenea duniani,pili hakuna dini yoyote iliyoletwa na Mungu isipokuwa hao waliotunga au kuzianzisha hizi dini tena kwa sababau zao (for political reasons,ku-control na...
Tatizo kubwa lililopo kwa waafrika sasa ni utumwa kwenye akili zetu na hasa kupitia hizi dini za hawa conqueres wetu au slave masters hasa waarabu na wazungu ila kiukweli kabisa wazungu wanajulikana kwa ukatili wao dhid ya mtu mweusi lakini once ukimgusa mwarabu ambaye ni katili mara mia ya...
Kusema kweli bado inanishangaza na itaendelea kunishangaza kama hadi leoo hii tunapozungumza haya mambo ni mwaka 2016, mwezi wa tatu tarehe 6,eti bado kuna waafrika wanaamini hadithi za kwenye biblia kuwa Adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa?kweli hii minyororo ya utumwa iliyofungwa kwenye akili...
Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa akili,baada ya miaka mingi ya kufanywa watumwa,iwe slavery au colonialism au religion waafrika tumekuwa nothing but zombies,hatujitambui matokeo yake ndio hayo ya kuweka bendera za nchi za watu ambao hawana huruma na wewe hata chembe....NOTHING CAN FREE OUR...
...tatizo mnaongelea mambo makubwa kwa wenye mioyo na akili zilizolala tangu na tangu,hawa waafrika hata hawaijui historia yao sembuse huyo mtu mweupe anayeitwa yesu?sana sana hapo wanaona nyie kuwa mmechanganyikiwa kusema yesu ni mweusi,akili ya mtu mweusi imekuwa mfu na inasikitisha kuona...
Mimi sielewi kwanini mnamuandama huyo dada...?ameelezea hisia zake na mkumbuke naye ni binadamu na huyo kichaa pamoja na matatizo yake ya akili lakini ni binadamu pia,au hamuoni hilo..?mbona kuna vichaa kibao wanawake wamezalizalishwa?au wengine ukipita mabarabarani utawaona wana mimba au watoto...
slave mentality ndio inawasukuma kufanya hayo wanayoyafanya (kuweka bendera ya ufaransa) inasikitisha sana kuona waafrika mpaka leo hatujitambui wala hatujui historia yetu...!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.