Recent content by muro121

  1. muro121

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Akili ako finyu. Bora ya nzi anaye jua chakula chake.
  2. muro121

    JamiiForums Tanzania Alama ya herufi "M" kiganjani

    NYIE NDO wanajimu au
  3. muro121

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Kiukweli siwezi sema umesema ukweli ila tayari sisi waislamu Allah amesema uzinzi ni uchafu Kwahiyo nikama umedadafua zaidi. Niseme NAUNGA MKONO HOJA 100% Huwa na washangaa vijana wenzangu wengi wanapoona maumbo ya wanawake makalio /rangi nyeupe ambayo hata kwa macho tu unatambua hii sio...
  4. muro121

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Wewe ni masikini tu. au Ka bima kana kuwambia we umepata maisha.
  5. muro121

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    [emoji1] Nashaka na elimu yako. Alafu FAKIRI utamuita nani. Kama masikini ni mlemavu basi wee ni wakwanza coz una ulemavu wa akili, maana hujui kutofautisha kati ya FUKARA NA MASIKINI
  6. muro121

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Utakuwa unakalia kichwa sio makalio. Huwezi kuandika upuuzi huu hapa au na wee ni mlaji. Mtoa mada katoa mfano ulo wazi :watanzania hawana mapato ya kujikimu hata kwenya matumiz ya lazima kama maradhi. Wee unakuja kusema serikali imesitisha matumizi yasiyo ya lazima. (( labda utuambie ni...
  7. muro121

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

    Huku mwanza TOZO YA UCHAFU KILA DUKA NI 20000 NA BAR 30000 .alafu kila geto 3000/= . .Hivi mbinguni ni kule zinapo pita ndenge au .Naomba kujuzwa niandae nauli ya #Airtanzania nikipanda sishuki nikishuka nashukia mbinguni. #TOZO zimeniikaa hapa
  8. muro121

    JamiiForums Tanzania Tozo ya uchafu wilaya ya Ilemela Mwanza ni 30000/=

    Habari asubuhi wadau wa jamiiforum. Kama Mada inavyo eleza hapo juu .Leo kapita mtangazaji akitanga kuwa mkulugenzi wa wilaya yetu ya ilemela anawataka wanao miliki Bar kulipia 30000/= na wafanya biashara wa maduka kulipia 20000/= na kwa kila kaya kulipia 3000/= kwa jili ya TAKA kila mwe'i...
  9. muro121

    JamiiForums Tanzania Njoo tuelekezane jinsi ya kupiga hela Burundi

    Vip mpakani swala la kuvusha simu!? Hizi used kuna ukaguzi na kodi!?
  10. muro121

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya Hospitalini ni kero

    BIMA NI KAMARI kama hukujja hilo
  11. muro121

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

    Ahaa basi sikuelewa kama ni JIWE Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
  12. muro121

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

    Ndomaana nakuita mshamba (jiwe ndo nani). Aidha sukuma gang inamaana gani kwa uelewako. Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
  13. muro121

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

    Acha ushamba nawasi na akili ako .umetumia ID ipi kujua huyo ni msukuma. 1 pili huyo samia ye nae ni mwanadamu kwahiyo kila kitu tukubali .basi nguja tumchukue mkeo tumgawane niwazo kuu hilo Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom