Bima ya Afya Hospitalini ni kero

Bima ya Afya Hospitalini ni kero

Nikiwa field hospital eneo fulani niliwahi ambiwa mama mjamzito akija clinic uliangalia tumbo hataridhika kabisa hata kama ujauzito una miezi miwili atataka tu umsikilize mtoto ivoivo ndo ataenda nyumbani na furaha.

The same kwako mtoa mada,
1. Issue ya kupimwa kipimo inaendana na level ya kituo, umeenda dispensary au kituo cha afya na maelezo yako yanakiashiria cha U.T.I kwanini usipimwe mkojo? Upo na bima ya afya kwanini usiende hospital kubwa ambapo kama unataka utapimwa kipimo cha damu, mkojo, haja kubwa etc?
Hilo la wewe kutaka kupimwa kitu ambacho hakina viashiria kiuhalisia ni kumfundisha daktari kazi hata nikiwa mimi sitakubali.

2. Vyumba vya daktari ni kweli unakuta mpaka saba ila madaktari waliopo ni watatu halafu mmoja amepata emergency, mwingine anahudumia waliopo wodini na mmoja akawepo pale kwenye chumba kimojawapo. Ni kweli hao wengine waache kuhudumia waliopo wodini wakuhudumie wewe tu?

Kama unabima ni vizuri ukaenda hospital kubwa kama unaweza hayo makasiriko yatapungua mkuu.
Ukweli ni kwamba wanaokuwa i/c wanaelewa linapokuja suala la wao kwenda kuchukua statement ya malipo huko kwa wahusika....

Unakutana na hii kitu inaitwa OVER UTILISATION OF INVESTIGATION and DRUGS kisha unakuta wamekupiga 345k ndio utaelewa ni kwanini baadhi ya Taasisi zinatoa vipimo tu kwa dalili husika na siyo anachokiamua mteja
 
Yawezekana maandishi yana makosa kutokana na ukweli kwamba uandishi ni kipaji...

Lakini tambua sijakurupuka kuandika hapo mimi nimeteseka sana kwajili ya ushenzi wa bima...

Mtu naumwa naenda zahanati si mara moja napimwa malaria hakuna nasema ngoja niende kituo cha afya mambo yaleyale hakuna kitu

Napanda gari kwenda hospital wilayani mtu anakwenda kukupima kwa kipimo kilekile nilichoacha zahanati tena anapima kitu kimoja tu (malaria) halafu tukisema eti miongozo, miongozo au ujinga!!?

Haya sasa hapo hapo wilayani nikaamua kwenda zahanati binafsi mbona nimemuelezea tatizo langu (bila kumlazimisha anipime kitu fulani chochote wala kumfundisha kazi) akanipima vitu vingine tu na akanipa dawa zingine tu na niko fiti mpaka sasa? Au miongozo haimhusu?

Acheni kuharibu sifa za vituo vya huduma za jamii kwa vigezo vya kishamba. Yaani leo hii mtu akiwa na bima inabidi asiioneshe mpaka hatua fulani ikifika ndipo aitoe ili kuepuka usumbufu
 
Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.

Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!

Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue

Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi

Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza

Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.

Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena

Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)

Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari

Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo

Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia

Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.

Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale

Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu

Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Nin

Hapa umachanganya mambo. Kwanza, ninakubaliana na wewe kuhusu changamoto za bima ya afya,hasa ya taifa, NHIF. Lakini, katika makala yako, mambo mengi uliyoyasema si ya bima ya afya bali ni udhaifu wa hsptl husika. Je, kero za foleni huko Ruangwa ni kwa watu wa bima pekee? Tabia ya kuchelewa kuanza kazi,kwa mfano, inahusianaje na bima ya afya?

Hiyo ni mifano michache ya udhaifu wa makala yako. Ungejikita kwa mambo ambayo ni ya bima ya afya kama kichwa cha habari kilivyoandikwa. Tofautisha udhaifu wa hsptl na ule wa bima ya afya.

Asante
 
Acha kulalamika. Kura yako ndio inakutesa.
 
NHIF ilishakuwa KERO.

Nashangaa watu wanaolipia huduma zao sijui kwa mwaka ''Najali' n blah blah zingine

Ukija kwenye mitandao ya simu nazo ni KERO

Yaani Tanzania hii....basi tu
 
Nyie ndio nilikuwa nawatafuta....

Hivi ni nani alowaambia hizo bima ni kwaajili ya kufanya unalolitaka?

Nafikiri zimewekwa kwaajili ya matibabu siyo kwaajili ya kingine tofauti na matibabu....

Dr. Ndiye atakayetoa ruhusa au ku initiate kipimo ila siyo wewe ndio hivyo boss....

Vumilia tu

BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG na siyo hisia na miemko yako....

Usitoe lawama, ila waambieni na waombeni waiboreshe
Mleta mada ana hoja ya msingi, niliwahi kumuuliza jamaa yangu Dr anayefanya kazi kwenye Hospitali flani inayopokea bima (NHIF) akaniambia wanazuiwa kumuandikia mgonjwa vipimo vingi, jambo ambalo linawa limit kwenye kufanya diagnosis..
 
Nin

Hapa umachanganya mambo. Kwanza, ninakubaliana na wewe kuhusu changamoto za bima ya afya,hasa ya taifa, NHIF. Lakini, katika makala yako, mambo mengi uliyoyasema si ya bima ya afya bali ni udhaifu wa hsptl husika. Je, kero za foleni huko Ruangwa ni kwa watu wa bima pekee? Tabia ya kuchelewa kuanza kazi,kwa mfano, inahusianaje na bima ya afya?

Hiyo ni mifano michache ya udhaifu wa makala yako. Ungejikita kwa mambo ambayo ni ya bima ya afya kama kichwa cha habari kilivyoandikwa. Tofautisha udhaifu wa hsptl na ule wa bima ya afya.

Asante
At least wewe umenichallenge KakaMkubwa, hatahivyo A na B yote ni majibu sahihi

Asilimia kubwa ya watu siku hizi wanatumia (wamejiunga na) bima ya afya kwahiyo mkifika hospitali madokta na wahudumu wanakosa chochote kitu na ndio maana wanajivuta kutoa huduma

Mfano hiyo hospital ya Ruangwa imetengwa kabisa vyumba kwa wasio na bima, wenye nhif, wenye chf na kadhalika kwahiyo vuta picha mwenyewe hapo. Kuna hospital nyingine (siyo Ruangwa lakini) walikuwa wanawapa kipaumbele wasio na bima kwenye foleni mwenye bima anatafutiwa namna yoyote asubirishwe wenye pesa waishe kwanza mpaka ikafikia watu wanaficha bima ili wavushwe haraka kwenye hatua za awali kisha ikifikia kwenye malipo ndipo anaonesha bima wanaanza kuparangana.

Enzi za nyuma (kabla ya bima kuenea) hospitali hizohizo ilikuwa tunahudumiwa haraka tu lakini sasahivi ukitaka kwenda hospitali unajipeki kabisa maana aliyefika saa 12 aliyefika saa 5 wote mnaondoka saa 11. Vipimo tulikuwa tunaandikiwa hata vinne ukapimwe maabara lakini hivi sasa umependelewa basi viwili.

Hiyo Ruangwa nimeandika kama mfano tu, udhaifu huu siyo wa hospitali husika bali ni wa 'sipitali' nyingi na sababu ni "BIMA YA AFYA"

Haya mambo tunaeleza siyo kwa kukurupuka bandugu wala hatuelezi kutaka sifa (likes) au umaarufu bali tunaeleza haya ili kusudi wahusika wayashughulikie. Hii yote ni kuisaidia serikali sikivu ambayo inajitahidi kuhudumia wananchi wake kwa usawa ila wachache wanairudisha nyuma kwa kufanya kinyume.

Wanaotaka kuficha ficha humu ndio wanaosababisha serikali ionekane haifai na wananchi na wanakuwa na madukuduku yasiyotatuliwa
 
Tianzie kwanza hapa kwanza mkuu, We unatumia Bima gani? Kwa kifurushi gani?
Maana Hayo yote kwa wengine ni mageni??
 
Nhif mbona sehemu nyingine wanagoma kupokea
Au nhif watata kufanya malipo

Ova
 
Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.

Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!

Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue

Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi

Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza

Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.

Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena

Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)

Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari

Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo

Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia

Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.

Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale

Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu

Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Nikienda hospitali huwa siwazagi ugonjwa wangu
Nawazia usumbufu utakao tokana na kero tajwa hapo juu
 
Back
Top Bottom