Kinachochekesha ni kwamba huyo huyo DRC ana mwakilishi wa serikali yake (Consulate General) pale Mombasa wakati ana ubalozi mjini Nairobi. Sasa ngoma draw au??
Umeanza vizuri nikakuamini... Wanawake wanaposema haki sawa hawazungumzii ndoa tu, hio ni mojawapo ya sehemu inayodhulumisha wanawake, bali wanataka nafasi ya kumiliki mali katika majina yao, kujiunga na kushiriki. kikamilifu katika shughuli zote za kijamii, malipo sawa kwa kazi sawa n.k. Hapo...
Kuna economist alisema developing countries zinakua taratibu sana hatutakuja fikia nchi zilizoendelea bali gap itaendelea kuwa kubwa na nilijisikia vibaya sana aliposema hivyo ila kwa kweli ukiangalia miji ya Paris na Versailles yalivyopangwa tangia miaka hio bila shaka unaona kwa ukuaji wetu...
Ni kawaida sana kwenye coalition politics. Ila sikulaumu kwa sababu hauna mifano ya aina nyingine ya uongozi ukiacha unayoiona kila siku so uelewa wako sio mpana.
Mgogo Vitani bado ina umuhimu wake kaka. Wengi tupo kwenye levels tofauti za uzoefu so inawezekana beginner akawa anafuatilia thread anapata madini mengi tu.
Ungeweka pia energy mix ya Tanzania ili tuone tofauti. Nahisi Tanzania inategemea zaidi thermal energy (umeme wa generator) kuliko Kenya hali iliyokuwa mbaya zaidi na ukiongeza na ukosefu wa dola zinazohitajika kununua mafuta.
Hio hapo ni "total available". Natural mineral resources ni finite, tunavyozitumia zinazidi kupungua. Raslimali zilizo na thamani kubwa zaidi ni raslimali watu na 'produced capital' (majengo, mashine n.k). Tuwekeze kwenye elimu bora na afya kwa watoto wetu tupae. Hizi stori za tuna raslimali...
Wanapima "total private wealth" yaani mali binafsi inayomilikiwa kwenye jiji hilo k.m. thamani ya majengo binafsi (yasiyo ya serikali/umma), hiza kwenye biashara mbali mbali, cash etc. Jisomee mwenyewe hapa...
2022 Africa Wealth Report Reveals ‘Big 5’ Hold Over 50% of the Continent’s Private Wealth.
Hivi ulipata msaada? Kama bado una uhitaji, ukipitia website hii Legal Framework nina imani utapata info yote unayohitaji kuanza kuwekeza kwenye NSE. CDSC ndio unaopaswa kufungua nao account ili kuanza safari yako ya uwekezaji. Kila la heri.
Yaani arguments zingine hapa huwa zinanishangaza sana. Logic huwa inabakia mlangoni kabisa.
Basically argument kuu ni: Tanzania = nchi huru na ikifanya maamuzi yake haimbezi mtu yeyote, na maamuzi yake yanafaa yaheshimiwe.
Kenya ni nchi "huru"?, ila inafanya maamuzi yake ili kumpendeza beberu +...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.