Nairobi securities exchange

Mtuache

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
251
638
Habari

Mimi ni mtanzania na naishi Tanzania, nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu kichwa cha habari hapo juu. Naombeni msaada wa haya maswali hapo chini

1. namna ya kujiunga na Nairobi Securities Exchange ikiwa mimi ni Mtanzania
2. Vitu vinavyohitajika ili nijunge
3. Njia za malipo (nikinunua na kuuza shares zangu)
4. Napataje gawio ikiwa naishi huku TZ
5. Athari nitakazopata kama mtanzania mwenye hisa za Kenya
6. Kima cha chini ni hisa ngapi? (DSE wao ni hisa 10)

Mwenye kujua haya mambo, au baadhi ya hivyo nilivyouliza, au mwenye kujua wapi nitapata majibu ya hayo maswali.

Naomba anijuze tafadhali
 
Sawa, ngoja nami niwasubiri
Hivi ulipata msaada? Kama bado una uhitaji, ukipitia website hii Legal Framework nina imani utapata info yote unayohitaji kuanza kuwekeza kwenye NSE. CDSC ndio unaopaswa kufungua nao account ili kuanza safari yako ya uwekezaji. Kila la heri.
 
Asante sana, ngoja niende
 
Back
Top Bottom