Recent content by Muracha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

    Najuta kuzaliwa mwenzenu yamenifika.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

    Maji ya Shingo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatakiwa kuwalinda wawekezaji wazawa

    Serikali imetakiwa kuwalinda wawekezaji hususani wazawa wenye viwanda vidogo ili wasaidie kukuza uchumi wa Taifa kupitia viwanda kama yalivyo maono ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa viwanda. Mkurugenzi wa ranchi ya mifugo ya Mrito iliyopo Nyamongo Wilaya Tarime...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

    Unaokoka mwaka mzima halafu baada ya hapo unarenew contract. Unaanza upya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa wa vipele unasumbua sana

    Sawa inaitwa scabboma
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa wa vipele unasumbua sana

    Hizo ni scabbies wala siyo fangus. Nenda pharmacy nunua sawa inaitwa Scaboma beinyake ni kuanzia 8,000 mpaka 15,000. Tumia wiki mbili. Usipopata nafuu nicheki nikuelekeze kwa mtaalam namba moja wa magonjwa ya ngozi. Fata maelekezo ya pharmacist. Ukipata nafuu usiache kuleta mrejesho.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

    Unatakiwa wewe ndo uondoke
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayejua hospitali nzuri za magonjwa ya ngozi hapa Dar

    Dawa ilikuwa Rahisi tu. Alinieleza ni tatizo gani analo nikamuelekeza dawa ya kutumia.. Ndogo dogo tu inauzwa 8000- 15000 pharmacy...keshapona huyu ndugu kizito
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Kwanini wenye nyumba wana usumbufu hivi?

    Mbona nyie mnaafadhali. Usafi 20,000, maji 20,000 umeme 50,000. Na tunaishi kibachela. Hutaki hama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Kwanini wenye nyumba wana usumbufu hivi?

    Hujatumalizia story asee ya like jitu.. Kama vp anzisha Uzi mpya kumalizia ile story asee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Wengi wakifikwa na wake/waume wao bushukuru sana. Kuna baadhi ambao ni wengi wameuwa wake/same zao
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    We mama Deborah....hivi vitu umevijuaje? Umepikia watoto kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Umeoa? Muombe kaka/mdogo wako wa damu anazae na mkeo....kwani damu ni hiyohiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom