Recent content by Mura wa chitugho

  1. Mura wa chitugho

    Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    pumbavu zao kabisa, kwanza tangu nianze kukua sijawahi ona urusi imeleta impact ya moja kwa moja katika maisha yangu
  2. Mura wa chitugho

    Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

    Wanajidai kutusaidia kwa gharama zao ndogo ila hujui wanachokipata huko DRC ni bora ukakaa kimya au fanya tafiti kwanza. Mzungu sio ndugu yako mura
  3. Mura wa chitugho

    Unakumbuka nini enzi za kuandikiana barua za mapenzi?

    NAKUMBUKA ILE BARUA YA MESENJA KALETA BARAAA
  4. Mura wa chitugho

    Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    basi watoe takwimu za case ya corona tu si tayari wameshazichambua na kubaini ukweli wa cases za magonjwa na wagonjwa.
  5. Mura wa chitugho

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Konda msafi utiniwenaaa? Shapu shaap neee?. Umenikumbusha demu wangu wa kizulu kutoka soweto bhana. sasa hivi hapatikani facebook sijui kaenda wapi jamini , mara ya mwisho kuonekana fb ni mwaka 2014. sijui vurugu vurugu na maradhi ya souzi zimemchukua hata sielewi mie.
  6. Mura wa chitugho

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    MIMI ANANIKUMBUSHA DEMU WANGU WA KISAUZI MAMORAKANE (MZURI HUYO) KUTOKA SOWETO. KICHWA UMIZA ISEE
  7. Mura wa chitugho

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    UTAKUWA UNAMILIKIWA NA KAKOBE BILA KUJIJUA,
  8. Mura wa chitugho

    Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

    Wewe ndio wale wale kazi yao kulalamika na kulaumu bila kutoa suluhisho /ushauri
  9. Mura wa chitugho

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Ni kujisifia ujinga ujinga tu, Hivi kwa kiwango cha elimu alichofikia alipaswa kuwa dereva wa bajaji? Au ni changamoto ya maisha ndio yamesababisha kujiingiza kwenye kazi ambayo haindani na fani yake? Elimu aliyosoma haijamsaidia chochote bali kumfilisi tu , so mnataka kutuambia si ni bora...
  10. Mura wa chitugho

    Serikali pitieni upya Sera ya 'Elimu Bure', ikiwezekana ifutwe kabisa

    Njoo na Statistical evidence za kabla ya elimu bila malipo na baada ya elimu bila malipo kwa kila changamoto uliyotaja hapo juu ili tuweze kuamini ulichoandika, tofauti na hapo tutajua umetumwa na chadema. provide statistical facts za before and after na utoe statistical proof by using any...
  11. Mura wa chitugho

    Hebu tuchambue matumizi ya haya magari ya viongozi wetu yanazolalamikiwa

    Ofisi ya Waziri pia inahusika na skendo hizo, wao si ndio wapitishaji vibali kwa kuzingatia taratibu za serikali?
  12. Mura wa chitugho

    Siumii kukosa ajira ila napata 'stress' kutoka kwa wanaosubiri niajiriwe

    Nakumbuka 2013 nilimaliza chuo kikuu fulani nchini badae nikaenda kwa bro DSM kuangalia upepo unaendaje huko huku nyuma tayari nilikuwa nimempa demu wangu mimba tukiwa chuoni na tukamaliza chuo pamoja, sasa ile kukaa kwa bro bahati nzuri nikawa nimejishikisha kwenye hardware hivi ambayo kwa...
  13. Mura wa chitugho

    Wanawake wa kinyaturu!

    Mkuu unanikumbusha demu wangu wa kinyaturu nilimpata pale nyokaa lounge night club, alikuwa na mdomo mzuri na macho mazuri ya kulembua hivi, nikawa nimekaa zangu club akajipitishe kama anaenda nje hivi kumbe aliniona nina interest nae, alifika nje akarudi tena ndani kusikilizia , akakaa kwenye...
  14. Mura wa chitugho

    Notable persons from Musoma and Mara

    Orodha bado ndefu sanaaaaa, tuna akina maafisa wengi sanaaa serikalini hasa wizara ya tamisemi mfano akina jummanne sajini, joseph nyamhanga, na wengine akina prof chacha nyigoti huyu alikuwa marekani , dkt matoka huyu yuko chuo cha open universirty, akina mabere nyaucho,
Back
Top Bottom