Ni wazuri machoni, wakarimu usoni... Lakini wengi wao hasa ambao wamekulia huku Singida hawana uvumilivu wa kuwa na mwanaume mmoja, nirahisi sana kushawishika kwa namna yoyote ile!
Note: Sio wote wako hivyo, Usiogope Fanya kile moyo unapenda lakini Acha akili iamue!
Nipo Singida!
Mchana mwema!
Mkuu unanikumbusha demu wangu wa kinyaturu nilimpata pale nyokaa lounge night club, alikuwa na mdomo mzuri na macho mazuri ya kulembua hivi, nikawa nimekaa zangu club akajipitishe kama anaenda nje hivi kumbe aliniona nina interest nae, alifika nje akarudi tena ndani kusikilizia , akakaa kwenye kochi nikamfuata nikaanza kumuongelesha kinyaturu akafurahi sana,
nikamwambia awe ananifundisha, akakubali, tukaagiza vyombo (mkojo wa punda) tukapigaaa mpaka saa tisa usiku, akaniuliza tunaenda wapi kulala? akasema mwenyewe kwanza yeye kwake sio pazuri kwani analala chini ndio kwanza anaanza maisha, nikamwambia twende ghetto kwangu ambako ni chumba self na sebule, tukaenda, tulifika na kuoga na kuanza kula bata batani mzumbe mzumbeni, asubuhi akaniambia twende tukapime afya baada ya kufurahia bata ya nguvu, tukaenda kupima ile kupima tu tukakuta tuko safi woteeee, mziki ukaanza, mapenzi yakanoga, kipindi cha corona nikamuhamishia getu akawa ananipikia mzee baba,mapenzi yakanoga baraaa, badae akaanza kutoa siri za jamaaa aliyekuwa ane awali ambaye alikuwa ni mnyaturu pia, kumbe jamaa waliachana nae kutokana na kutotoa matunzo na kutomridhisha mahaba, basi maisha yakaendelea.
Demu akataka nimpe ujauzito lakini holaaa, kumbe kizazi kilikuwa kinamushikeri, badae akawa anasema wewe mbona una mke tayari ? nikamwambia haina shaida, mbona wewe una mke unayempenda ambaye alikuwa mkoani dsm. nikamwambia tulia bby,
Badae bwana (in short), mapenzi yalizidi hadi nikuza ng'ombe wangu huko kijijini kwa ajili ya kumsaidia aanza biashara, nilipompa hela kama elfu 90 hivi, kumbe yeye alikuwa na plan ya kurudi kwa lijamaa lake la awali, nilimpo mpa tu jioni kasema anaenda kwao kwanza, ile kumtafuta hapokei simu , nikipiga simu anakata, anasema atanipigia badae, napiga anakata simu, niliumia na kujikaza kisabuni sana, basi akaniandikia meseji gazeti kuwa ameona aachane na mimi kwa kuwa mimi nilikuwa na mke mwengine ninayempenda, na yeye alikuwa anamuhurumia jamaa yake wa awali kwani alikuwa akimsumbua sana kwenye simu akitaka warudiane,
Basi, nikakubali tu shaishe ila nikamwambia hela niliyokupa itarudi tu kwa njia yoyote ile, hela yangu huwa haiendi bure, alipoanza kuishi na jamaa yake wa awali, demu akawa hana hamu ya kimapenzi na huyu jamaa badala yake akawa anafanya mapenzi kwa kutumia picha yangu kichwani, mara nyingi alikuwa akilala alikuwa anaiota kwa kuongea ongea usingizini, jamaa kumuuliza nani huyo unamuota? demu anasema hapana sijaota mimi
Mara nyingi demu alikuwa akitoroka kuja kwangu ili nimpe mashaine ya kikurya ingawa alikuwa na jamaa yake, na kuanza kuniambia siri na madhaifu ya jamaa yake.
Kwa ufupi ni kwamba kwa sasa demu kasha achana na jamaa yake huyo baada ya jamaa kumnyanyasa na kumwambia aondoke kwake , tena kipindi ambacho demu alikuwa ni mgojwa wa tonseses. demu sasa hivi karudi kwao na ameamua kuokoka (Kumkiri Bwana ndiye mwokozi wa maisha yake).
kwa hiyo, kukaa na demu wa kinyaturu inahitaji uvumilivu sana na nguvu za kupiga push up za kutosha la sivyo utaumia kila siku