Recent content by munywanyi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Katika hali hii sijui kama kuna kazi itafanyika mi nadhani hii ishu sio ya kweli kabisa. Kilichotokea hivi majuzi pale mamlaka ya usafiri wa anga ni dhahili kabisa kuwa sasa hivi ni mwendo wa mawaziri kufuata maneno ya makoridoni. TCAA kuna kada ya AIR TRAFFIC CONTROLLER hawa inaonyesha ndio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haya haya, yaliyo nyuma ya migogoro ya ardhi isiyoisha na iliyogharimu maisha ya wengi

    Watendaji wa vijiji na maafisa mipango miji ndo shida na bila hawa kushughulikiwa na kuchukuliwa hata bado tutakuwa tunahangaika tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa bongo waipongeza rasimu ya katiba mpya

    Wote hao njaa tu, kama ulimwangalia Steve Nyerere akitoa neno, ile ni njaa tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pinda akiuka maadili agawa rushwa kwa dola za kimarekani

    Hivi huyu akiwa raisi baada ya hili janga la taifa si kabisa nchi itapigwa mufirisi kweli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Oral interview Tanesco

    Kama ndo hivi sisi wasio na ndugu na makabila yetu madogo tumekwisha. Nadhani watu wanafanyishwa interview kiini macho ila wenye ndugu hapo ndo wanaenda kupata.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Oral interview Tanesco

    Wanajamvi tayari tanesco wameishawaita wahandisi na techinicians kwa ajili ya oral interview. Kwa mtazamo wangu hapa kuna uhamiaji nyingine hapa. Kama kuna mtu ana majina ya walioitwa ayaweke hapa plz.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Mkuu mbona PHTS sioni hapa? Msaada please
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi na viwanja katika manisipaa ya Bukoba

    Ardhi kazi yao kula pesa za walala hoi tu. Hapa Bk kuna afisa ardhi anaitwa Katres ni noma
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi na viwanja katika manisipaa ya Bukoba

    Wanajamvi napenda kufahamishwa juu ya upatikanaji wa kiwanja kama tangazo la viwanja lilitoka, ukalipa malipo ya awali ila mpaka sasa unakwenda mwaka wa pili toka 2012 November ila mpaka sasa hakuna lolote linalosemwa kila ukienda wanasema bado. Hawa watu wa ardhi ni shida kweli kweli maana hapa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Kama iliitwa kwa haki nafas yako ipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Baba Mzazi wa Dk. Kigwangalla adai kutelekezwa na mwanae

    Mi naona HK ana haki ya kufanya au kutofanya kabisa japo kwa mtazamo anajitahidi sana. Maisha mazuri si kuzaa na kuwatelekeza watoto bali kuwapa mahitaji muhimu tofafauti na hapo ni laana tu na mwisho wa siku utabaki kuwa na lawama tu, maisha si ulitaka wewe bana!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Mfumo mbovu wa elimu yetu na elimu yetu wa kutufanya tutegemee ajira wakati viongozi wenyewe uwezo na ubunifu wa kutengeneza ajira hakuna. Vijana tumekuwa vilema wa kuajiriwa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Posho kwa wajumbe wa katiba mpya ni sh.300,000/= tu

    Natutakuwa hivyo mpaka hapo tutapokuwa na utambuzi wa kuwachagua watu sahihi!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natamani CCM watangaze rasmi kukataa kura za watumia gongo

    Ni kweli gongo yaweza kuruhusiwa na kodi ikachukuliwa maana sioni tofauti kati ya gongo na chibuku utofauti ni TBS tu basi. Na hukohuko kwenye gongo ndo askari wa maccm wanaenda kuchukua rushwa na kuwaacha wauza gongo waendelee japo kwa siri. Bangi hiyo ni noma kabisa hata akisikika kiongozi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Hapo sisi tunahangahika tu ndo uone wanajithamini wenyewe. It's like keeping the dog expecting that it will get its food from the dustbin.
Back
Top Bottom