Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
85% si nisawa tu na 100% jiulize kama ulikuwa u atumia 10,000\= kwa mwezi tafuta tena 10,000/= kwa mpango huu.
Sasa hapo maisha bora yako wapi???
Ifike muda haya maswala ya gharama za maisha kama kupandisha gharama hizi ipitie bungeni
Sasa hapo maisha bora yako wapi???
Ifike muda haya maswala ya gharama za maisha kama kupandisha gharama hizi ipitie bungeni