Recent content by munyambilisi

  1. munyambilisi

    DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    Uwekezaji wa DP world hautiliwi shaka. Lakini Waingereza ama wa Belgium hawana mkataba kama Huu wetu. Tusichanganye ufanisi na Makubaliano ya KIMANGUNGO.
  2. munyambilisi

    Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

    Ma CCM yakiuana chukua Bia Unywe
  3. munyambilisi

    Ni nani yuko nyuma ya uozo Shule za Wazazi (CCM)?

    Juzi nilipita Kanawa Secondary School (Kishapu) na Lalago Secondary School (Maswa) zote ziko Chini ya jumuiya ya Wazazi na hali zake ni mbaya
  4. munyambilisi

    Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

    Sifa ya kwanza ya Kuwa CCM ni kuwa mhafidhina (hardliner) kwa Chama sio Taifa wala Wananchi wenzio ndio maana mengi ya ma CCM ni Majinga [emoji28]
  5. munyambilisi

    Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

    [emoji28][emoji28][emoji28] acheni mzee wa Watu Apumzike aaahhh Kwani hizi hela alitoa mfukoni. Malizeni Matanga Harudi huyo atiii
  6. munyambilisi

    Magufuli anasalitiwa

    Mzee amelala mwacheni Apumzike hayo mambo Yenu pambanieni kwenye jamii zenu bila kumhusisha mzee Huyu
  7. munyambilisi

    Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

    Kituri na kifaru Mitaa fulani Saafii Sana
  8. munyambilisi

    Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Sabaya huyu huyu Tapeli au unaongelea mwingine [emoji23][emoji15]
  9. munyambilisi

    Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

    Kufanya Siasa Sio Huruma ya Rais ni Takwa la Kikatiba Ikiwa mtu anadhani Rais wa Nchi ambaye ni mwenyekiti wa CCM anatoa Hisani Kwa Watu kufanya Siasa Mtu huyo Haijui CCM.
  10. munyambilisi

    Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Yaani Watu wa vyombo dola ni wavunjifu wa Sheria mno.
  11. munyambilisi

    Picha: Grigori Rasputin na Familia yake wakiwa St. Petersburg

    Haha Huyu jamaa nilisoma Historia yake namna alivyowaingiza Mkenge akina Czars Nicholas na wenzie [emoji23]
  12. munyambilisi

    Msimamo wangu Joseph Yona kwenye serikali ya Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan

    [emoji23][emoji23][emoji23] Kwa Kuwa nyingi mno Pole na msiba Kaka
Back
Top Bottom