Recent content by Munnahumuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unachukuliaje tabia ya watu kubeba vyakula au vinywaji toka kwenye masherehe na kurudi navyo nyumbani

    Tunafosi kufananisha Maisha ya Africa na Wazungu na hapa moja kati ya sababu za kufeli.Africa by nature huwa tunaishi Kibinadam, yaani namaanisha hii tabia ya kushift misosi haiko kwenye sherehe tu ndo asili yetu Sasa mwafrika kujibagua kwa kujifananisha na Wazungu huo ni uboya.Embu tuwe na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Do alliens exist?

    Nadharia hizo,wanazitengeneza Wazungu ili tuwaone Unique Pumbavu hawa.Its truth that hatuko wenyewe ila kwa Alliens tumepigwa Kama walivyopigwagwa tu wale Masoja wa Majimaji war in that error
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

    Ndiyo Mimi naamini,wewe ujuzi wako kwenye Masuala ya kiusalama unaujuzi gani?Kama Neema alimuwasha Mpenzi wake,Kule Bar Risasi wameuwana nini kinakutia shaka kwa Mbowe wakati nayeye ni Binadam na anahulka Kama Wengine tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Tanzania tunakosa nini hadi tuanze kukamuana hiki ambacho hata hakikidhi Mahitaji? Kuendesha Serikali inamaana Utalii,Madini,Gas na Mengineyo alotujaalia ALLAH haviwezi kugeuka hela kwa Serikali?Kama Serikalini ni Wavivu wa kufanya kazi na kuvigeuza hivyo kuwa hela ya kununua Mafuta ya V8 huku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Colonial economy inakusaidia nini hapo welding
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Kiukweli kwa ninavyoijua thamani ya Mama,Polisi naomba mniorodheshe kwenye nguvu kazi yenu.Vijana tushachoka Usenge NEO-COLONIALISM.Wagawanye ili uwatawale ndo formula ya Wazungu Sasa Mama Samia Piga kazi vijana wengi tz tupo nyuma yako Mama yetu.Polisi nawashauri,hasa Mijini ambako waanzisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuchafua taswira ya Mkuu wa nchi huwezi baki salama!

    Kuwa na adabu ni Muhimu. Kwa aliyekaa jando hawezi kukosa adabu mbele ya Mkubwa wake kiasi hichi acheni kuendekeza upumbavu wa kiboya hivyo. Mama Samia Anawazidi umri kiasi kikubwa sana mkishindwa kumheshimu kimamlaka basi Kumheshimu kwa Umri wake. Na yeye ni mtanzania pia na anahaki ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuchafua taswira ya Mkuu wa nchi huwezi baki salama!

    Halafu hili sijui nalionaga Mimi tuu,kuna baadhi ya watu midomo yao imekaa flani hivi, yaani funiko la mdomo wa juu unakuwaga mnene hivi Kama Sokwe type flani,jamaa huwa wanakuwagaje sijui.Yaani ni karaha kwelikweli.Halafu Wengine wanakuwaga na ngozi flani hivi kavu hivii aisee usiwe na urafiki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanashindwa kutofautisha R na L kwenye kuandika Kiswahili na si Kiingereza?

    Na Mjadala huu hauwahusu Watu wa Mkoa wa Mara tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanashindwa kutofautisha R na L kwenye kuandika Kiswahili na si Kiingereza?

    Jiulize Walimu wa Secondary kipindi fulani walivyokuwa wanalalamika Kupelekewa wanafunzi hawajui kusoma itakosekana vipi Graduate kuandika Mararamiko badala ya Malalamiko?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Mnanda Nyimbo ni Zuwena Goma nimetiwa Vocal na Marehemu Jack Simela
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Supastaa wa JF?

    Superiority Complex of human being.Yaani unakaa unawaza kuwa au kuona Nani bora kuliko nani Zama hizi.Mambo haya ndo yaliwafanya KAINI akamuua ABELI.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakati China ikijitahidi kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inadhuru maslahi ya nchi nyingine ili kujiendeleza

    Hivi ndivyo vyakula vya ubongo wa Great thinker sasaa.Wakati huu China inapotuongelea katika fikra za kutukwamua kwani na Africa yenyewe inaelewa?Inasemaje pia! Africa inafanyaje kukazia hapa walipoanzishiwa kujielewa? Africa tunapiganiwa huko,sisi yaani kichwani yanapitapita mengi lakini ukija...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Alisema tumpe miezi minne ajipange.Sasa ndani ya Ofisi hata hajakaa sawa mmeanza kelele aje nje.Mwacheni Mama aweke sawa Kwanza Ofisi.Mkumbuke hii Ofisi hajakabidhiwa na Hayati,kwa hiyo kuna tofauti kati ya kukabidhiwa Ofisi na kuikuta Ofisi.Orientation Kwanza.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Kaimba Chemical na Centano
Back
Top Bottom