Hakuna kitu kama hicho ile ilikuwa ni michezo ya mmarekani na mrusi... Wee hushangai hakuna allien hata mmoja aliyewahi kutua Afrika?Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures
Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Mpaka hivi sasa kuna makundi mawili yanayabishana kuhusu dunia kuwa globe, na wengine kuwa dunia ni flat ikiwa imefunikwa na mfuniko wa kioo( dome). Vyovyote vile, kama unaamini dunia Iko flat kama disc, basi ujue kuwa dunia ina North pole iliyo katikati ya tundu lililo upande wa juu, Lakini upande wa chini hakuna South pole. Bali kuna Bara (Continent) kubwa sana liitwalo Antartica. Sehemu hii hairuhusiwi kupitisha ndege . Sehemu hii, imefunikwa na ukuta mrefu wa barafu ambao umezunguka eneo lote kuzunguka dunia ( unaweza kwenda Antartica kutoka Argentina, South Africa, Ausralia, na New zealand. Hakuna usafiri wa ndege wa moja kwa moja kutoka South Africa kwenda Australia kupitia Antartica. Hebu jiulize ni kwa nini?. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 370 iliyopotea baada ya kubadili mwelekeo na kuelekea kusini. Yawezekana ilielekea Antartica ambako kuna bases nyingi za Aliens pamoja na waNAZI.Intersting....lakini mimi niliskia ni south pole, xontinent ambalo hatujui mengi kuhusu hilo.world war tu germans walikuwa wakifanya research za siri kule sana na inajulikana ni kwa jinsi gani wajerumani walikuwa wakivutiwa na supernatural stuffs na vitu vya kusadikika. kwa upande wetu labda ni sawa na hizi story tunazo ziskia hapa kwetusijui nilipelekwa chini ya bahari.kuingia sijui mpaka ufanye vitu flani..
Nataka uniambie kitu kimoja tuuu..amabcho katika imani yako hujaambiwa na kuaminishwa ila umekiona kwa macho.Akili za kuambiwa usituambukize na sisi
Ile ndege wanayo CIA na US millitary, ipo kisiwa cha Diego Garcia! pengine walishaibadilisha hata jina tayari wale wapuuzi.Mpaka hivi sasa kuna makundi mawili yanayabishana kuhusu dunia kuwa globe, na wengine kuwa dunia ni flat ikiwa imefunikwa na mfuniko wa kioo( dome). Vyovyote vile, kama unaamini dunia Iko flat kama disc, basi ujue kuwa dunia ina North pole iliyo katikati ya tundu lililo upande wa juu, Lakini upande wa chini hakuna South pole. Bali kuna Bara (Continent) kubwa sana liitwalo Antartica. Sehemu hii hairuhusiwi kupitisha ndege . Sehemu hii, imefunikwa na ukuta mrefu wa barafu ambao umezunguka eneo lote kuzunguka dunia ( unaweza kwenda Antartica kutoka Argentina, South Africa, Ausralia, na New zealand. Hakuna usafiri wa ndege wa moja kwa moja kutoka South Africa kwenda Australia kupitia Antartica. Hebu jiulize ni kwa nini?. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 370 iliyopotea baada ya kubadili mwelekeo na kuelekea kusini. Yawezekana ilielekea Antartica ambako kuna bases nyingi za Aliens pamoja na waNAZI.
Na wanasema one of the pair coordinates za Pyramid of Giza figures zake zinaendana exactly na figures za speed of light.Kweli watu theories nyingi lakini hata kwenye story ya genesis uumbaji inasema tuumbe mtu kwa mfano (wetu)...
Kama kuna mtu haamini uwepo alliens na ukaribu wao na binadamu wa zamani atafute kuhusu hivi vitu mtandaoni...
- Acient uraniam reactors gabon
- Antikythera Mechanism
- Baghdad Battery
- The Coso Artifact
- The Giant Stone Spheres of Costa Rica
- Rama's bridge(rama setu).story kamili kutoka vitabu vya kale.
- Swali la mwisho waliwezaje kujenga pyramids kubwa kiasi hicho wakati teknolojia ilikuwa ndogo sana na ni nani ali waelekeza wajenge pyramids hizo katika mstari ulio nyooka kukatiza dunia katika mabara yote wakati walikuwa hawajuani wala hawakuwa na imani sawa (ukiangalia Teotihuacan pyramid iliyopo Mexico, Tenerife (Guimar) katika Canary Islands, Ancient Egypt, mpaka Xi'an nchini China)
- Kuna vitu vingi hatuvijui na hatutakaa tuvijue binadamu umriwake miaka 100 dunia ina miaka bilioni kadhaa
Yes....Sabaya, Lema, Lissu, Makonda, Zitto, Maria Sarungi, IGP Omari Mahita. Hawa ni baadhi tu ila tunao wengi wanaishi nasi.Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures
Kitu pekee ambacho Afrika tunakikosa ni kuacha asili zetu na kufuata tusiyoyajua. Kama vile tulivyo leo hatuelewi sisi ni wajamaa ama wabepari. Ndivyo ilivyo upande wa asili yetu hatujui tuko wapi? tumefauata kitu tusichokijua.Wazungu ni wajanja sana mambo mengi wanaonyeshwa na lusifa, wakifanikiwa kuya tenda wana singizia niviumbe vinavyo itwa Alliens
Point no 8 hakika inafikirisha sana. Kuna mambo mengi tena makubwa tusiyoyajua kuhusu maisha ya viumbe mpaka tulipofika leo hii. Na huenda yapo yanayoendelea ambayo hatuyaoni na hatuyajuiKweli watu theories nyingi lakini hata kwenye story ya genesis uumbaji inasema tuumbe mtu kwa mfano (wetu)...
Kama kuna mtu haamini uwepo alliens na ukaribu wao na binadamu wa zamani atafute kuhusu hivi vitu mtandaoni...
- Acient uraniam reactors gabon
- Antikythera Mechanism
- Baghdad Battery
- The Coso Artifact
- The Giant Stone Spheres of Costa Rica
- Rama's bridge(rama setu).story kamili kutoka vitabu vya kale.
- Swali la mwisho waliwezaje kujenga pyramids kubwa kiasi hicho wakati teknolojia ilikuwa ndogo sana na ni nani ali waelekeza wajenge pyramids hizo katika mstari ulio nyooka kukatiza dunia katika mabara yote wakati walikuwa hawajuani wala hawakuwa na imani sawa (ukiangalia Teotihuacan pyramid iliyopo Mexico, Tenerife (Guimar) katika Canary Islands, Ancient Egypt, mpaka Xi'an nchini China)
- Kuna vitu vingi hatuvijui na hatutakaa tuvijue binadamu umriwake miaka 100 dunia ina miaka bilioni kadhaa
Aisee!Mpaka hivi sasa kuna makundi mawili yanayabishana kuhusu dunia kuwa globe, na wengine kuwa dunia ni flat ikiwa imefunikwa na mfuniko wa kioo( dome). Vyovyote vile, kama unaamini dunia Iko flat kama disc, basi ujue kuwa dunia ina North pole iliyo katikati ya tundu lililo upande wa juu, Lakini upande wa chini hakuna South pole. Bali kuna Bara (Continent) kubwa sana liitwalo Antartica. Sehemu hii hairuhusiwi kupitisha ndege . Sehemu hii, imefunikwa na ukuta mrefu wa barafu ambao umezunguka eneo lote kuzunguka dunia ( unaweza kwenda Antartica kutoka Argentina, South Africa, Ausralia, na New zealand. Hakuna usafiri wa ndege wa moja kwa moja kutoka South Africa kwenda Australia kupitia Antartica. Hebu jiulize ni kwa nini?. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 370 iliyopotea baada ya kubadili mwelekeo na kuelekea kusini. Yawezekana ilielekea Antartica ambako kuna bases nyingi za Aliens pamoja na waNAZI.
Kumbe PhD ni rahisi kupata kiasi hiki?JF itanipa PHD kiutani utani tu
Ndiyo wapo kina Mshana Jr MziziMkavu Pure_sapiens Umuzukuru Aunt CashHabari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia