Ngoja tumalize Unguja na Pemba kwanza,nafasi hii adimu lazima itumike ipasavo kama vipi hamia Bwejuu,Makunduchi au Ngome Kongwe na Kizimkazi yake,si mmeahidi kuuenzi Muungano wa babaenu wa taifa sijui mnaogopa zenji itachukuliwa na waarab.Kabudi na waziri wa mambo ya ndani pigeni kazi wajukuu...
Na raisi awe mzanziber, ndio kina Lukuvi akili zao hizi kaifanye Uganda na Malawi ziwe Mikowa pia. Kinachoendelea ni wabongo wamekitaka wazanzibar siku nyingi walikuwa hawautaki huu muungano.
Kauli za wazee hizi za kujiliwaza. Kiswahili ni nini?? Siku ukienda kutibiwa bawasili India ndio utajuwa umuhimu wa Ngeleee au ukibahatika kuvuka mpaka wa bongo lala.
Lisu aliwatetea sana masheikh bila kujali dini ,leo mashekhe wa uamsho hata kusema tu hawawezi hakika waislam tunahuzunisha. Allah atamsimamia dhidi ya dhulma anayofanyiwa.. Waislaam tunatakiwa tusimame kwenye ukweli dunia tutaiacha tu hii hata atujengee masoko mangapi huyu samia hatutaenda nayo...
Basi atasimama mbele ya Allah na amwambie nilivokuwa nikiuwa niliagizwa na mwenda zake. Pia mimi ni Mwarabu. Waislam tunatia kichefu chefu kwa kujifanya kumuunga mkono huyu Frauni wa kike Allah amjaze Kheri Mohamed Bachu hakuwa mnafiq wa uzanziber au uislaam alisimama kwenye ukweli kwenye huu...
Alipoingia madarakani Samia kila mtu alimpenda alianza kuchukiwa kutokana na matendo yake ya kuteka kuuwa. hakuna cha uislaam wala uzanziber. Allah atampatia anachostahil Fraun yuko wapi mwenziwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.