Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,838
- 58,522
Gerezani hadi chamanzi mbande kule... Sijui ni km ngapi? Ila nilitembelea
@ushimem njoo huku pleaseNilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Kilometa moja ulitumia masaa 3.5, kweli hii ni Chai ya saa kumiI travelled 77km from Burigi chato to Nyakahura... 20hrs... it was a worst experience I've ever faced
Umeshaambiwa huna mazoezi akili hapo zinaingiaje,moron au unataka matusi
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Good jobNilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Dah imejaa afyaHuwa nafanya sana hizi hasa weekend nikiwa kama meditation yangu. Natembea Hadi. Nje ya mji huko siku nzima.... It's healing
Kilometres ngapi?Nataka nitembee ngaramtoni ya juu bara bara ya East Africa mpaka USA river kupitia Njiro sijui ntatoboa kwa muda gani hao wa baiskel tu wanachoka balaa..
Km 43 mbona kawaida sana mkuu, hasa sisi watoto wa bush.Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Pond ulipotea.Siku nyingi ha tuoni visa vya Mama JMiguu haijavimba?
Sawa.Km 43 mbona kawaida sana mkuu, hasa sisi watoto wa bush.
Itakua zaidi ya 50km ni siku nzima hiyo mazee..Kilometres ngapi?
Bush zimejaa boda boda mazee bush lilikua la miaka ya 90 sio sasa hivi unakuta bush kuna Dstv tv 65 inch ipo ndani kuna bush hapo...Km 43 mbona kawaida sana mkuu, hasa sisi watoto wa bush.
Hii appl inaitwaje?Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Umri mkuu,ushamuona lakini? Watu wa Umri wake hawaamini kama inawezekana.Yani huo umbali ndio utumie masaa 9 au ulikuwa unatambaa
Pedometer step counterHii appl inaitwaje?