Recent content by mungelehumphrey

  1. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

    Nazi ipo
  2. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Hivi JK akienda USA naye hufikia Blair House au hizi hoteli?

    Du jk noma
  3. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TAKUKURU (Dr. Hosea) mgonjwa, yuko nje ya nchi kwa matibabu

    God awajalie afya njema haraka
  4. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

    Mimi Mtwara nawasapoti kwa kukomalia hilo maana haiwezekani kila kitu kiwe Dar mikoa ya kusini imesaulika sana waachwe na gesi yao
  5. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama (John Tendwa) amaliza mkataba wake, aendelea kukalia ofisi!

    Hiyo kali huyu mzee ni CCM
  6. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Abambwa akibaka Mbuzi Laivuuu

    Aitwe shehe au padri awafungishe ndoa.
  7. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

    Ngoja tuone DCI atawafanya nini ccm.
  8. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

    Pole wote kwa msiba lakini mazingira ya kifo yana utata huyo mwanamke ni mke wa mtu au vp hilo nalo ni muhimu kujua.:juggle:
  9. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Migodi Kanda ya Ziwa watangaza Vita na Serikali

    Kwanza naunga mkono 100% maana kama serikali imeishiwa watuambie lakini siyo kung'ang'ania pesa zetu hiyo miaka 55 nani atakuwepo kwa kizazi hiki cha sasa kwanza kazi za migodi ni risk tupu mda wowote unaumia au kufukuzwa kazi yaani waache mchezo kabisa na pesa za watu hata mungu atawalaani.
  10. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Hii ndo laptop yangu, je yako ikoje???

    Oyaaa acha ulimbukeni bwana ndiyo umeweka nini hicho sasa.
  11. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Maoni Yako: Laptop gani bora kuliko nyingine?

    Chukua apple,Dell zingine vimeo tu zitakusumbua.
  12. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania hawa ndiyo Al shabab

    Hivi kenya kweli wataweza kuwashinda hao jamaa wa al shaabab maana wanaonekana wana mtandao mkubwa sana wa kujilinda na bahati mbaya kenya ina wasomali wengi sana.
  13. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Maj Gen SAMWEL NDOMBA - Mnadhimu wa Jeshi

    Lut Gen Samwel Ndomba big up kwa kupanda cheo na kuwa mnadhimu mkuu wa jwtz.
  14. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania Mwonekano wa Lulu sasa

    Lulu huko jela anakaa VIP nini iweje anenepe hivyo kuna kitu siyo bure jamani maana watu wengi tunajua jele ni mateso sasa kwa lulu imekuwa tofauti.
  15. mungelehumphrey

    JamiiForums Tanzania mwenye macho aambiw tazama,kwa wale waliotaka kuona nanii ya wema,oneni

    wasanii wetu bongo wanatutia aibu kweli kukaa uchi.
Back
Top Bottom