OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.
Pindi Chana hajawahi kuwa team Lowassa..... Nchimbi hajagombea popote.... Tafuta lingine