Recent content by Mungasaragha Kalembwe

  1. Mungasaragha Kalembwe

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Kulipia sio issues sema saiz password ndio wanazingua zingua sijajua kwann
  2. Mungasaragha Kalembwe

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Nmeitumia mwaka uliopita na ilikuwa poa sana ila saiz nlilipa 3000 mpka Leo password [emoji360] sijapewa ila wakikupa tu password bonge la app yaani utainjoi
  3. Mungasaragha Kalembwe

    Mwenye uzoefu na biashara ya pool table

    Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano Mtaji wake ni sh ngapi? Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi? Changamoto zake ni zipi Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidie
  4. Mungasaragha Kalembwe

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Weka bei na mawasiliano
  5. Mungasaragha Kalembwe

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Naomba namba yako
  6. Mungasaragha Kalembwe

    INAUZWA Jiko Koa kwa elfu 46 tu!

    Nmeyapokea huku chunya nategemea majibu kwa wife ntaleta mlejesho soon baada ya siku ngapi iv
  7. Mungasaragha Kalembwe

    Msaada tutani: Nitapata wapi soko la Mercury?

    Npo Chunya ni boda boda tu ila huwa naagizwa sana mercury na nimeona watu wana piga pesa ila kwangu ugumu ni wapi napata mercury nile faida Kwa kilo ni mpaka 320000-350000 Kok au kizipo cha soda 20000-30000 Tatizo ni upatikanaji wake tu
  8. Mungasaragha Kalembwe

    Mafua yasiyoisha, nini tiba yake?

    Mimi nkiogea sabuni ya kipande lazima ila ya unga Hanna
  9. Mungasaragha Kalembwe

    Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

    Naomba namba yako na picha NPO rombo apa
  10. Mungasaragha Kalembwe

    Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana. Tangu lini mchezaji akatambulishwa kwenye mkutano wa uchaguzi?

    Alex Song Yuko wapi saiz na wakat kacheza EPL,la Liga,ligue one
  11. Mungasaragha Kalembwe

    Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

    Mbona mm zinapiga ile mbaya yaani kiukweli jamaa ni fundi aisee sijui unakwama wapi
  12. Mungasaragha Kalembwe

    Natafuta intern au kazi katika kada ya information technology

    Nisaidieni kuroot simu yangu ni infinix S 5 kama ntasaidiwa kimaelekezo namna ya kufanya nitafurahi japo sijui kutumia computer kivile
  13. Mungasaragha Kalembwe

    Free wifi Internet at home 8G+

    Sorry naomba ufafanuzi wako ",nunua zuku lipia 70 utatumia unlimited"
  14. Mungasaragha Kalembwe

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    Msaada kuroot simu yangu ni Infinix S5 nisaidie mkuu
Back
Top Bottom