Madaktari wapo wapi kulisemea hili tupate mwanga kidogoHabarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna mtu anakitu kama hiki!??
Njoo pm nikupe dawa..!Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna mtu anakitu kama hiki!??
Asante kwa maelezo mazuri...Nahisi ni allergy hasa ya vumbi manake nkipatwa na vumbi ndo kabisa utata....ila karibia kila siku nina mafua sikumbuki lini nimekua sina mafua. Kuna namna ya kusaidia issue ya allergyInawezekana una allergy. Pua zinaziba na kichwa kuuma? Au umepata sinusitis. Sinusitis is an inflammation, or swelling, of the tissue lining the sinuses. Normally, sinuses are filled with air. But when they become blocked and filled with fluid, germs (bacteria, viruses, and fungi) can grow and cause an infection.
Conditions that can cause sinus blockage include the common cold, allergic rhinitis (swelling of the lining of the nose), nasal polyps (small growths in that lining), or a deviated septum (a shift in the nasal cavity).
mwenye uelewa tunaomba tiba maana wengi tunapata shida ya mafua kwa muda mrefu sanaHabarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna mtu anakitu kama hiki!??
mkuu mzizimkavu kwann usiweke hapa dawa mi nikapona?naumia sana tu!!Ukihitaji Dawa ya kukutibu Mafua yako nitafute nipate kukupa dawa ili upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mkuu kuna dawa za bure zipo duniani? Hata ukienda Hospitali unalipia au kuna hospitali za bure zinazo toa Dawa?mkuu mzizimkavu kwann usiweke hapa dawa mi nikapona?naumia sana tu!!
Kaka nitajie dawa na mm nasumbuliwa sana na hili tatizoNjoo pm nikupe dawa..!
Hivi wew kwa maisha ya kitanzania unafikiri inawezekana kuepuka vumbi??vumbi ni shida kubwa kwa wengi na hawajui kama mafua yao tatizo ni vumbi.. wanapuyanga tu mtaani na barabarani kkumbe wako allergic na vumbi.. kuleni ceteizine kama tiba then muishi mazingira ya kuepuka vumbi
Mimi nkiogea sabuni ya kipande lazima ila ya unga Hannaperfume,lotion,body spray,sabuni za kuogea unazotumia mwilini mwako huenda ikawa chanzo kikubwa kwa tatizo hilo,hebu jaribu kuchunguza katika hizo bidhaa kisha leta mrejesho