Msaada tutani: Nitapata wapi soko la Mercury?

NJOO inbox Mkuu, nikuunganishe na Buyer wa Uhakika, buyer anakufata pale ulipo...

Mradi uwe na Mzigo Serious na sio kupotezeana muda kwa mambo ya Utaperi, coz hakuna Style mpya ya Utaperi kwenye hizo Mambo nisizojua...

So uko na Mzigo Seriously Karibu pm... I have a really buyer! Ni Cash...
Done!
 
Habari za leo wafanyabiashara

Naomba kujua naweza kupata wapi soko la mercury hapa nchini, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Pia, kama una connection ya buyers/wanunuaji wa Mercury tafadhali tupeane connection na pia unipe information kwa ujazo upi mercury hio inanunuliwa na zaidi mwisho wa siku tukifanikiwa kuuza tutagawana pesa itakayopatikana.
Nafahamu inapo uzwa njoo inbox
 
Kuna mtu atatumbukia kwenye mtego na kuporwa humu humu ndani, yaani ataliwa kekundu...in a flash!

Mie simoooooo. Nipo na mayai ya bundi!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Popote ulipo panda basi la kahama, ukifika kahama chukua daladala za kwenda Segese nauli ni 3000 kule utakuta mgodi wa wachimbaji wa dogo wa Ntambalale nauli ni 2000 kutokea pale Segese center kwa vipanya au 4000 kwa bodaboda. Kule utawakuta wenye mialo ya kuprocess dhahabu wananunua sana mercury maana ndo malighafi kuu katika ukamataji dhahabu
 
shukrani mkuu
 
mkuu embu acha akili za kimasikini hizo za kutapeliwa. pia nina swali maana umetamka kitu
 
Popote ulipo panda basi la kahama, ukifika kahama chukua daladala za kwenda Segese nauli ni 3000 kule utakuta mgodi wa wachimbaji wa dogo wa Ntambalale nauli ni 2000 kutokea pale Segese center kwa vipanya au 4000 kwa bodaboda. Kule utawakuta wenye mialo ya kuprocess dhahabu wananunua sana mercury maana ndo malighafi kuu katika ukamataji dhahabu
mkuu bei zao zipoje ? na kwa ujazo gani ?
 
Habari za leo wafanyabiashara

Naomba kujua naweza kupata wapi soko la mercury hapa nchini, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Pia, kama una connection ya buyers/wanunuaji wa Mercury tafadhali tupeane connection na pia unipe information kwa ujazo upi mercury hio inanunuliwa na zaidi mwisho wa siku tukifanikiwa kuuza tutagawana pesa itakayopatikana.
Npo Chunya ni boda boda tu ila huwa naagizwa sana mercury na nimeona watu wana piga pesa ila kwangu ugumu ni wapi napata mercury nile faida
Kwa kilo ni mpaka 320000-350000
Kok au kizipo cha soda 20000-30000
Tatizo ni upatikanaji wake tu
 
Back
Top Bottom