Recent content by Mundele Makusu1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?

    Jambo lolote jepesi huwa Lina gharama kubwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mke awaunga kwenye Group moja michepuko 7 wa mume wake

    Je huyu mwanamke ni mjina
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu

    IPO sehemu gani hio Lumuma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu maji

    Mkuu kwemaah naomba mrejesho WA hii project yako, Mafanikio yakikuwa yapi na changamoto zilikuwa zipi.Mrejesho wako ni Somo Zuri kwa wengine
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

    Tunaheshimiana Sana boss wangu ww Ndio wakushauri hivi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Swali la nyongeza hakuna namna kwa muwekezaji WA kimataifa kuweza kununua HISA moja kwa moja kama ilivyosoko la DSE kwa hapa Tanzania...Nimefikiri hivi kwasababu naona Kenya na Tanzania ni kama ndugu WA Afrika Mashariki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Asante Sana mkuu, Msaada wako ni Njia kwa wengine pia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Max kivipi mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Alafu baada ya Hapo ,ungeweka maelezo kamili mkuu kwa manufaa ya wengine pia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kusajili account za bank

    Umetisha Sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kusajili account za bank

    Hapana sio Lazima awe amesomea uhasibu ..Mtu Yoyote mwenye elimu ya kidato cha nne kwa Tanzania hio kazi anafanya alimradi yupo vizuri kusoma ,kuelewa na kuandika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Naomba uelewa zaidi juu ya hili Somo mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Nimesoma hoja na mitazamo ya Wengi juu ya Biashara ya Mazao na kupata visa vingi vyenye kuelimisha,kuburudisha na kujenga mtazamo mpana juu ya hii Biashara.Kimsingi Kila Jambo Lina faida na hasara hivyo tusikate tamaa au kuwa na hofu kutokana na mitazamo hasi iliopo ama utakayopokea . Biashara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe Asante
Back
Top Bottom