Recent content by munamugi

  1. munamugi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msigwa: Tususie bidhaa za wafanyabiashara wanaounga mkono ukandamizaji Demokrasia

    Mi nilishaanza kitambo. Siku hizi sisomi wala kununua magazeti, pomoja na kuwa nilikuwa mpenzi sana wa magazeti. Na poa sianalii na sisikilizi redio yoyote inayodhibiti habari.
  2. munamugi

    JamiiForums Tanzania Kailima: Nimeenda jandoni kwa hiyo siwezi kujibu matusi ya Mbowe

    Hongera kwa kwenda jandoni.
  3. munamugi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wana Kilimanjaro rudini CCM muungane na Anna Mghwira kufufua uchumi; msibaki nyuma

    Usituambie kuhusu kuufufua uchumi, tuambie kwanza ni nani aliuua? Bila kumkua muuaji atauua tena. Kwenye kuuua hatuitwi, kwenye kuufufua tunaitana. Nadhani wanaouua ndiyo wana wajibu wa kuufufua kama wanaweza.
  4. munamugi

    JamiiForums Tanzania Natangaza kususia sherehe za uhuru wa Tanganyika zitakazofanyika uwanja wa uhuru , D'Salaam

    Uhuru gani? Bora ya mkoloni mweupe.
  5. munamugi

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amefanikiwa kuua nguvu za CHADEMA na Upinzani mitandaoni na mitaani

    Unyamwezi, haujawahi kumwacha mtu salama. Ukimjua mtu ni mnyamwezi jua ipo siku atasaliti tu lazima. Wafuatao ni baadhi yao. 1. Mtaki alimsaliti Mkwawa. 2. Mapalala na CUF. 3. Kasanga Tumbo CUF. 4. Fundikira UMD. 5. Lipumba CUF. 6. Magdalena Sakaya CUF. 7. Polepole CCM. Mimi huwa ninajiuliza...
  6. munamugi

    JamiiForums Tanzania CCM yadai kushinda Kata 42 Kisayansi. Huu ni Uongo!

    Jamani kumbe mapanga ni sayansi? Basi sasa wote tumieni sayansi.
  7. munamugi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nzito zaidi ya CCM

    Yaani CCM yangu imefikia mahali pa kununua wanachama? Yaani CCM yangu inakufa hivihivi. Halafu siioni mikutano ya kampeni ya CCM yangu jamani. Iko wapi? Yaani kila kona ni CHADEMA inajaza watu hata kama mgombea wao yuko jela duh!!! Jamani CHADEMA wabaya nyiyeeee!!!!
  8. munamugi

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Haimarishi CCM na wala haui upinzani. Kifupi. Asilimia kubwa kama si wote wanaoenda CCM, ama wanashawishiwa kwa ahadi ya au pesa ama vyeo, na pengine kutaka kuhurumiwa katika shughuli afanyazo mtu. Sasa CCM haiwezi kujengwa kwa kuwapa asante wanaohamia huku kuna wanachama wengi ambao kwa muda...
  9. munamugi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume anahitajika 36+

    Nimekuelewa, nitafute
  10. munamugi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

    Hivi bado tu mnasikiliza redio na TV hizi, vyombo vilivyoevemea upande mmoja? Au hata magazeti yaliyo salia baada ya mangine kufungiwa? Mi nimehamia mitandao ya kijamii.
  11. munamugi

    JamiiForums Tanzania NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

    CCM ni zigo la sang'enge, halibebeki. Sasa mpaka NEC wanabeba, lakini wapi.
  12. munamugi

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais Mwenye Mshahara Mdogo Afrika

    Kwani mshahara mdogo nayo imekuwa sifa?
  13. munamugi

    JamiiForums Tanzania Mbowe sio yule tuliyemzoea

    Buku saba, utamjua tu.
  14. munamugi

    JamiiForums Tanzania Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

    Mbona ng'ombe waliokamatwa wamevushwa kutoka Kenya, hamkuwachoma moto? Kumbe double standard hadi kwa wanyama? Kumbe siyo tu kwenye nyumba, wengine wabomoleshwe na wengine wasibomoleshwe?
Back
Top Bottom