NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampen za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini hivi sasa

NEC imesema chama ni ruhusa kumnadi mgombea wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.

NEC imesema katika chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni

Chanzo: Star Tv Habari
 
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampen za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini hivi sasa

NEC imesema chama ni ruhusa kumnadi mgombe wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.

Nec imesema katika chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni

Chanzo: Star Tv Habari
Huu sasa ushogaaa Araa kila kitu maagizo toka juu jamani msikubali ushogaa katika nchi yetu!! stupid kufanya siasa ni kufanyaje!!?? Rubbish!!
 
Upuuzi mtupu.....wawambie basi maneno ya kuongea.

Baadae tutasikia mgombea udiwani ajipigie kampeni mwenyewe na viongozi wake wa kata.

.... viongozi wa kitaifa hawaruhusiwi.!
 
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampen za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini hivi sasa

NEC imesema chama ni ruhusa kumnadi mgombe wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.

Nec imesema katika chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni

Chanzo: Star Tv Habari
Kampeni maana yake ni kunadi jinsi gani ya kutekeleza ilani ya chama husika. Inakuwa ngumu sana NEC wanapotaka ku- narrow down kampeni kwenye sanduku la kura tu. Nafikiri duniani hii itakuwa mara ya kwanza kutokea
 
Back
Top Bottom