Recent content by mumychaby

  1. mumychaby

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Acha akili finyu izo we upo kwenye siasa tu jali maslahi ya nchi na usiangalie ww upo chama gn nina wcwc na ww km bashite
  2. mumychaby

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Mbona yy hakuwa na huruma hata kidogo kwa wenzake au yy tu ndo anasura ya kuonewa huruma [emoji35]
  3. mumychaby

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Lkn hy mmke hjavuliwa bali kajivua mwenyeo kwn na yy hajijui km ni mke wa mtu mda mwengine wke ndo tuna matatizo
  4. mumychaby

    MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Mhm inasikitisha ila ndo ukome kujifanyisha nyoka na hio ndio hatma yako
  5. mumychaby

    TANZIA: Mpiga picha maarufu, Mpoki Bukuku amefariki dunia

    Mungu amlaze mahala pema peponi
  6. mumychaby

    Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

    Amevaa kitanzania zaid kuudumisha utamaduni wake bt kakosea asingeweka nywele za mzungu[emoji12]
  7. mumychaby

    Mchumba anahitajika

    Si kwa masharti hayo mwisho wa siku atasema nisitoke hata njee[emoji12]
  8. mumychaby

    Mchumba anahitajika

    Mhm ☹️hayo masharti km mganga wa kienyeji utapata kweli mchumba
  9. mumychaby

    Wanajamii naombeni mawazo yenu juu ya hili. .

    Naloo nenooo[emoji1533]
  10. mumychaby

    Wanajamii naombeni mawazo yenu juu ya hili. .

    Kipendacho roho hula nyama mbichi. Wahenga wanasema mtoto akililia wembe mpe muacheni aolewa akija kujichinja ndo atakapo jua
  11. mumychaby

    Pata siri za sirini za mwanamke kwa kuangalia lips na kidevu

    Sio kweli maneno unayosema hamna kitu km hicho .acha ujinga[emoji57]
  12. mumychaby

    huyu mbunifu unampa max ngapi?

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  13. mumychaby

    huyu mbunifu unampa max ngapi?

    Bado hajaweka vioo siwez mpa zote
  14. mumychaby

    DOOR to DOOR MASSAGE services in DAR

    Hamuitaji wafanyakaz me naomba ajira[emoji137]
  15. mumychaby

    huyu mbunifu unampa max ngapi?

    89%
Back
Top Bottom