Recent content by mumewanguu

  1. mumewanguu

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Mimi Mara nyingi naota nipo shule nimerud madarasa ya chini kabisa na huwa nipo kwenye maandaliz ya mtihani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mumewanguu

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Effect of colonialism Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mumewanguu

    Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

    Ww unaetaka lockdown ndio utakua wa kwanza kulalamika mshahara haujaingizwa, kumbuka serikali haitengenez pesa inategemea Kodi zetu cc wananchi hususan wafanya biashara ,ambao ili tupate pesa lazma tutoke,Sasa cjui umekula maharage ya wapi mpaka unashadadia lock down ngoja hako kamshahara kastop...
  4. mumewanguu

    Nina hofu ya Hepatitis B naomba ushauri

    Toa hofu ndugu Mimi nilikua natumia dawa za hepatitis b yaani truvada (arv) nilitumia miez 18 baadae hi hospital ya hapa mkoani kwetu wakanambia hawatoi dawa Tena niende nikachukue muhimbili,Basi nikaenda kwa doctor ili aniandikie transfer ya muhimbili ,yule doctor akanambia ndugu yangu...
  5. mumewanguu

    Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Wapo hapa tanga tunaye na ameshika dini kisawa sawa
  6. mumewanguu

    Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Wale wa usagara tulikua wazee was chichi,vigodoro na baikoko Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mumewanguu

    Waholanzi Watengeneza Virusi Vya Kuua Wanadamu

    Wewe ndugu ulijuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mumewanguu

    CORONAVIRUS: Naongeza miluzi ya tahadhari lockdown iharakishwe

    Wewe sababu una kaajira ndo Mana unashadadia lock down,ss ambao hatuli mpaka tutoke hujatufkiria kwenye hio lock down yako,Sasa ukifunga mtaa ni Yale Yale tu kama hatutakufa kwa Corona njaa vp itatuacha, think more jombaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mumewanguu

    Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Sawa mkuu hayo ni mawaxo yako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mumewanguu

    Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Kama c kwel ilibidi akanushe Mara moja Sasa kukaa kimya inamanisha okay Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mumewanguu

    Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

    Mimi Niko busy hapa nachanganya ukwaju na alkasusu niliamshe dude Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mumewanguu

    Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Katika dini ya uislamu muziki ni haram, na Mzee Yusuf alipoenda hijja na kurudi alitangaza kuacha mziki na alianza kutangaza dini na mashehe alizunguka mikoa mingi kutangaza kuwa kamrudia Mungu. Hivi karibuni inasemekana mfalme anataka kurud jahazini hivi ni kwamba alikurupuka au alijua...
  13. mumewanguu

    Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

    Kuna wakat nilipitia Hali Kama yako ila nilipambana nikavumilia Leo mungu amenifungulia njia sitamani kufa Tena ili Nile matunda ya juhudi yangu,so pambana no life is problem free,cc tukieleza ya kwetu utajiona huna tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mumewanguu

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nilikua maarufu Sana maramba op kikwete 2015 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mumewanguu

    Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

    Siku dada yako akiachika inakuaje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom