Recent content by MUME MASKINI

  1. MUME MASKINI

    Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Ni swala la muda tu kijana tulia fanya kama huoni
  2. MUME MASKINI

    Jinsi ya kutumia passlight

    Ishara ya passlight (au "high beam flash") kwenye gari au pikipiki ni mwanga mkali wa muda mfupi unaotumika kuwasiliana na madereva wengine barabarani. Kulingana na muktadha na mahali, maana yake hubadilika. Hapa kuna tafsiri za kawaida: 1. Ukiwashiwa moja kwa moja (high beam inawaka...
  3. MUME MASKINI

    Mjue Jaji Frank Caprio

    Jaji Frank Caprio alikuwa jaji mashuhuri wa Mahakama ya Manispaa ya Providence, Rhode Island, Marekani, ambaye alipata umaarufu duniani kupitia kipindi chake cha televisheni Caught in Providence. Alijulikana kwa mtazamo wake wa huruma na haki katika kushughulikia kesi ndogo ndogo kama za tiketi...
  4. MUME MASKINI

    “There is no free lunch in Africa“

    Kauli “There is no free lunch in Africa” ina maana ya kwamba: Katika muktadha wa Afrika, inaweza kumaanisha: - Ukipata msaada, mara nyingi kuna kitu kinatarajiwa kutoka kwako baadaye. - Hata kama inaonekana ni zawadi au msaada, kuna nia au faida nyuma yake (kisiasa, kijamii, au kibiashara)...
  5. MUME MASKINI

    Hakuna sheria yoyote,katika sheria za Tanzania imepiga marufuku “kukinukisha”

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kifungu kinachopiga marufuku moja kwa moja kutumia neno au kauli ya "kukinukisha." Hii ni kauli ya kisiasa au ya mtaani ambayo haijaainishwa katika sheria kama kosa. Katika mjadala wa Jamiiforums, baadhi ya wachangiaji walisisitiza kuwa hakuna sheria...
  6. MUME MASKINI

    Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

    Swala la kulala na kuamka,iwe kwakuanza kulala mapema aidha kwa kuchelewa. Hili niswala ambalo lipo ndani ya desturi ya mtu. Ni mtizamo wangu
  7. MUME MASKINI

    Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Binafsi yangu mwanamke anaenyimia uke wake usishikwe anakua na matatizo yafuatayo 1.yawezekana kataki kwasababu hana kisimi kimenyofolewa hivyo,hayuko tayar ni mtu anaejiskia aibu kama ukilijua hilo kwake itakua ni noma.lamda mzoeane 2.kuna baadhi ya wanawake wanakiharufu kikali sana ktk...
  8. MUME MASKINI

    Tamaa mbaya sana

    Usijidanganye ktk watu wanaolinda milango yao isiguswe na mtu ni. Wakubwa kazi Ipo historia moja ya kweli kuna jamaa alifanya hivyo kumwaga mboga,ilkua kila anakairibia pale godawn anapatwa na ki ZUNGU zungu
  9. MUME MASKINI

    Tamaa mbaya sana

    Niongezee kitu katk magodown meng hasa dar es salama,kuna aina mbili za magenge Aina ya kwanza kuna genge za mwezi hawa wanakua na umoja wao lakin ni wa mchongo. Hii genge ya mwezi maana yake nikwamba kila mgao ukitoka wa pesa kuna pesa inakatwa kulinda genge endapo kuna yeyote atapatwa na...
  10. MUME MASKINI

    Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

    Vibonge kuna namna yake anapindwa yule kama unavyoona kitabu cha kamusi unavyokikunja unauona ule mstari wa kati wa karatasi,basi mkitoka hapo anakwambia mwenyew aisee leo umeniweza baba
  11. MUME MASKINI

    Tamaa mbaya sana

    Nikweli mtoa mada hii hali ipo kila godown hapa dar nishida na inaumiza sana Ila haina pakusemea naweza sema hivyo,sijui ni wizara gani jamani Kiufupi hii kazi inamikono mingi Kuna anaechukua kazi huyu anaitwa mkubwa kazi Kuna salange huyu anakundi lake la wabebaji,huyu anawaambia makuli...
  12. MUME MASKINI

    Baada ya nyiongeza ya mshahara nimeona niongeze mke

    Wew thatha ndhothababi😁😁
  13. MUME MASKINI

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Aisee…!! Polesana yawezekana uliosema hapa ni madogo sana, kumbe unamakubwa zaidi ya haya.
  14. MUME MASKINI

    Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ? Majibu nikama ifuatvyo:-Nikwasababu masikini mapenzi ndio kitu pekee anachoweza kua nacho ndani ya uwezo wake,kuliko umiliki wa mali. Pokea taarifa
Back
Top Bottom