MUME MASKINI
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 234
- 320
Nikweli mtoa mada hii hali ipo kila godown hapa dar nishida na inaumiza sanaNatumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Ila haina pakusemea naweza sema hivyo,sijui ni wizara gani jamani
Kiufupi hii kazi inamikono mingi
Kuna anaechukua kazi huyu anaitwa mkubwa kazi
Kuna salange huyu anakundi lake la wabebaji,huyu anawaambia makuli kua hapa gar kushusha ni kiasa kadhaa
Kwaiyo mkimaliza kazi kule kwa tajiri anaenda yule mkubwa kazi
Akishapewa pesa anatoa chake anampa huyo sarange
Nae sarange anafanya yake anampigieni hesabu zake
Ipo hivi, bosi lamda analipa laki na nusu.
Mkubwa kazi atamwambia sarange hapa gari ni laki
Sarange yey anafanya hivi anawaambia makuli hapa tajiri analipa kiroba kimoja 80 chakilo 100 na chakilo 50 analipa 25 sh
Ipo hivyo kuanzia bandarini,DCG ,mbagala biasi nenda mchicha kule karibu sehem zote YARA
dah 😭😭😭 nimepita moote humo kupiga kazi sasa nimetulia
Utamu wa hii kazi ya ukuli wanao lipwa kihalali ni masokoni pekeake,sehem kama manzese,mbagala,karume,temeke
Humu masokoni gunia buku la kilo mia likizid bei inaongezeka mpaka 1500,2000,5000 mfano rumbesa la viazi
Sehem wanalipa kwa tani tani 1 elfi 10 ujazo ukiwa mkubwa tani moja mpaka 11000 watu wanalipwa