Recent content by mumburya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maeno "will" na "may" hayana maana sawa kisheria. Mwanasheria alipitiwa.

  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Tanzania hakuna softcopy za s. Chand?

    NAOMBA MWENYE CHAND PHYSICS X1 PDF NJOO INBOX nahitaji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada PDF za S. Chands -- Physics na Mathematics

    Mwenye nacho pia mimi nahitaji. Asante.
  4. M

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Wale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za mashtaka na kisa cha muuza pikipiki

    tutafika tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za mashtaka na kisa cha muuza pikipiki

    polisi ni madalali tu, wenye biashara wapo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za mashtaka na kisa cha muuza pikipiki

    Jamani mwenzenu nusuru yanipate hapa Bongo. Nilikutana na dalali aliyekuwa ananiunganishia na muuza pikipiki maeneo ya Mikocheni. Alidai kuwa pikipiki atakayoniuzia ni mpya, nzuri na haijatumika sana, na bei yake ni sawa na bure na ina vibali vyote. Nilikuwa na uhitaji nayo kwa kweli, hivyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

    MUDA WAKE HUJAFIKA TU?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    Maalim Said sisi tulio wengi tunakufaidi sana tusomapo simulizi zako zilizojaa hazina ya historia. Hao pimbi wachache Wala usihangaike kuwajibu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kisheria, Mdee na wenzake bado ni wabunge halali kwa tiketi ya CHADEMA

    Mdee na Covid wenzake wamepiga rufaa kuomba kurejeshewa uanachama wao. Yeye mwenyewe ameweka bayana kuwa uanachama wake alionao kwa sasa ni uanachama wa hiyari tu. Chama kimesema hakina aina hiyo ya uanachama. Covid wanaomba kurudishiwa uanachama. Maana yake hawa si wanachama kwa Sasa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Poleni, nitafute nikupe mwongozo sahihi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mkupuo PSSSF : Kikokotoo cha zamani au kipya?

    uwiiiii twafa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye Nchi atakayoongoza Rais Lissu hakutakuwa na kulipa kodi yoyote maisha yatakuwa kama peponi!

    wewe pimbi acha uongo soma hapa:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

    WENZAKO WAMASEMA HAONGEI WEWE UNASEMA ANAONGEA MBONA MNAPINGANA?
Back
Top Bottom