Kisheria, Mdee na wenzake bado ni wabunge halali kwa tiketi ya CHADEMA

Chama kikishamvua uanachama mbunge hatua inayofuata ni kulitaarifu bunge juu ya uamuzi huo na Spika akisharidhika anaiandikia tume kuwa nafasi husika iwazi ili tume ya uchaguzi ifanye utaratibu wa kujaza.

Lakini hebu tujiulize utaratibu upoje? CHADEMA iliwavua ubunge akina Mdee na wenzake na ikawapa muda wa wao kukata rufaa,

Je, katika muda huo wa kukata rufaa je CHADEMA ilitakiwa/ilishalitaarifu bunge? Kisheria si sahihi kulitaarifu bunge kwa sababu chama hakijamalizana nao bali lazima kisubiri mpaka muda kiliowapa kukata rufaa upite Kama hawajakata rufaa ndiyo kimtaarifu Spika juu ya uamuzi wao.

Baadaye Mdee na wenzake walikata rufaa kupinga uamuzi huo wa chama Baraza kuu la chama.

Swali: je, wamepoteza ubunge baada ya kukata rufaa na rufaa yao haijasikilizwa? Kisheria ni hapana, chama hakipaswi kimtaarifu Spika kabla hakijasikiliza rufaa yao maana wakimtaarifu Spika akina Mdeee watapoteza ubunge sasa kutakuwa na haja gani ya kusikiliza rufaa ya uanachama wa mtu ambaye mshatekeleza hukumu yake?

Je, mkishamtaarifu Spika akamvua ubunge halafu Baraza kuuu likabaini hawana kosa na waliapishwa bungeni kihalali mtakuwa na uwezo wa kuwarudishia ubunge?

Hivyo kisheria mpaka sasa akina Mdee ni wabunge halali wa Bunge la JMT kwa tiketi ya chama cha CHADEMA, na hii ngoma ninavyoiona ikitoka Baraza kuu break ya kwanza ni mahakamani kuchukua ubunge wa Mahakama.
Sheria ya Lumumba hiyo. Chama hakikupendekeza wala hakikupeleka majina yao. Wewe una ushahidi wa CHADEMA kuhusika kwenye hili suala ?
 
Usiandike mavi, haya ni mavi kama hayako backed by law /constitutional articles. Those are your personal opinion. Wapi kwa sheria ipi kuwa Spika akishapata baua ya kywafukuza uanachama lazima "aridhike". ndiyo aitaarifu tume?
 
Ila hawa mamluki wanapita kipindi kigumu sana, huku chama kimewatimua na hakitaki hata kuwasikia na kule bungeni wabunge wa CCM wanawanyanyapaa kinoma.
 
Wabunge viti MAALUM hupendekezwa na kamati kuu ya chama husika na Majina hutumwa kwa tune ya uchaguzi
Hawa mabinti Majina yao hayakutumwa na mtu yeyote
Magufuli ameapa kulinda katiba lakini bure
 
Chama kikishamvua uanachama mbunge hatua inayofuata ni kulitaarifu bunge juu ya uamuzi huo na Spika akisharidhika anaiandikia tume kuwa nafasi husika iwazi ili tume ya uchaguzi ifanye utaratibu wa kujaza.

Lakini hebu tujiulize utaratibu upoje? CHADEMA iliwavua ubunge akina Mdee na wenzake na ikawapa muda wa wao kukata rufaa,

Je, katika muda huo wa kukata rufaa je CHADEMA ilitakiwa/ilishalitaarifu bunge? Kisheria si sahihi kulitaarifu bunge kwa sababu chama hakijamalizana nao bali lazima kisubiri mpaka muda kiliowapa kukata rufaa upite Kama hawajakata rufaa ndiyo kimtaarifu Spika juu ya uamuzi wao.

Baadaye Mdee na wenzake walikata rufaa kupinga uamuzi huo wa chama Baraza kuu la chama.

Swali: je, wamepoteza ubunge baada ya kukata rufaa na rufaa yao haijasikilizwa? Kisheria ni hapana, chama hakipaswi kimtaarifu Spika kabla hakijasikiliza rufaa yao maana wakimtaarifu Spika akina Mdeee watapoteza ubunge sasa kutakuwa na haja gani ya kusikiliza rufaa ya uanachama wa mtu ambaye mshatekeleza hukumu yake?

Je, mkishamtaarifu Spika akamvua ubunge halafu Baraza kuuu likabaini hawana kosa na waliapishwa bungeni kihalali mtakuwa na uwezo wa kuwarudishia ubunge?

Hivyo kisheria mpaka sasa akina Mdee ni wabunge halali wa Bunge la JMT kwa tiketi ya chama cha CHADEMA, na hii ngoma ninavyoiona ikitoka Baraza kuu break ya kwanza ni mahakamani kuchukua ubunge wa Mahakama.

Akili yako na covid 19 hamna tofauti kijinsia
 
Mdee na Covid wenzake wamepiga rufaa kuomba kurejeshewa uanachama wao. Yeye mwenyewe ameweka bayana kuwa uanachama wake alionao kwa sasa ni uanachama wa hiyari tu. Chama kimesema hakina aina hiyo ya uanachama.

Covid wanaomba kurudishiwa uanachama. Maana yake hawa si wanachama kwa Sasa.
 
Chama kikishamvua uanachama mbunge hatua inayofuata ni kulitaarifu bunge juu ya uamuzi huo na Spika akisharidhika anaiandikia tume kuwa nafasi husika iwazi ili tume ya uchaguzi ifanye utaratibu wa kujaza.

Lakini hebu tujiulize utaratibu upoje? CHADEMA iliwavua ubunge akina Mdee na wenzake na ikawapa muda wa wao kukata rufaa,

Je, katika muda huo wa kukata rufaa je CHADEMA ilitakiwa/ilishalitaarifu bunge? Kisheria si sahihi kulitaarifu bunge kwa sababu chama hakijamalizana nao bali lazima kisubiri mpaka muda kiliowapa kukata rufaa upite Kama hawajakata rufaa ndiyo kimtaarifu Spika juu ya uamuzi wao.

Baadaye Mdee na wenzake walikata rufaa kupinga uamuzi huo wa chama Baraza kuu la chama.

Swali: je, wamepoteza ubunge baada ya kukata rufaa na rufaa yao haijasikilizwa? Kisheria ni hapana, chama hakipaswi kimtaarifu Spika kabla hakijasikiliza rufaa yao maana wakimtaarifu Spika akina Mdeee watapoteza ubunge sasa kutakuwa na haja gani ya kusikiliza rufaa ya uanachama wa mtu ambaye mshatekeleza hukumu yake?

Je, mkishamtaarifu Spika akamvua ubunge halafu Baraza kuuu likabaini hawana kosa na waliapishwa bungeni kihalali mtakuwa na uwezo wa kuwarudishia ubunge?

Hivyo kisheria mpaka sasa akina Mdee ni wabunge halali wa Bunge la JMT kwa tiketi ya chama cha CHADEMA, na hii ngoma ninavyoiona ikitoka Baraza kuu break ya kwanza ni mahakamani kuchukua ubunge wa Mahakama.
Ukikata rufaa maana yake umekubali hukumu ya kwanza ipo lkn hujairidhia.
 
Wewe lord matatizo hebu nikuulize; mtu akihukumiwa mahakamani kwenda jela mwaka mmoja huwa haanzi kutumikia adhabu yake mpaka atakapokata rufaa na rufaa yake kusikilizwa? au huwa anakata rufaa akiwa anatumikia adhabu yake?

Hii thread yako imejaa kelele tupu.
 
Aya yako ya kwanza tu inakinzana na kichwa cha mada. Lini Chadema iliwahi kuwateua uliowataja kuwa wawakilishi wa chama chao bungeni? Kama haikuwahi kuwateua kama chama kinavyodai kinawezaje kufanya hayo mengiiiiiii iliyoelezwa???!!!!
Mhangaikaji. Imetoka hiyo. Waendelee kuwa wabunge wa Ndugai na CCM. It is over.
 
Chama kikishamvua uanachama mbunge hatua inayofuata ni kulitaarifu bunge juu ya uamuzi huo na Spika akisharidhika anaiandikia tume kuwa nafasi husika iwazi ili tume ya uchaguzi ifanye utaratibu wa kujaza.

Lakini hebu tujiulize utaratibu upoje? CHADEMA iliwavua ubunge akina Mdee na wenzake na ikawapa muda wa wao kukata rufaa,

Je, katika muda huo wa kukata rufaa je CHADEMA ilitakiwa/ilishalitaarifu bunge? Kisheria si sahihi kulitaarifu bunge kwa sababu chama hakijamalizana nao bali lazima kisubiri mpaka muda kiliowapa kukata rufaa upite Kama hawajakata rufaa ndiyo kimtaarifu Spika juu ya uamuzi wao.

Baadaye Mdee na wenzake walikata rufaa kupinga uamuzi huo wa chama Baraza kuu la chama.

Swali: je, wamepoteza ubunge baada ya kukata rufaa na rufaa yao haijasikilizwa? Kisheria ni hapana, chama hakipaswi kimtaarifu Spika kabla hakijasikiliza rufaa yao maana wakimtaarifu Spika akina Mdeee watapoteza ubunge sasa kutakuwa na haja gani ya kusikiliza rufaa ya uanachama wa mtu ambaye mshatekeleza hukumu yake?

Je, mkishamtaarifu Spika akamvua ubunge halafu Baraza kuuu likabaini hawana kosa na waliapishwa bungeni kihalali mtakuwa na uwezo wa kuwarudishia ubunge?

Hivyo kisheria mpaka sasa akina Mdee ni wabunge halali wa Bunge la JMT kwa tiketi ya chama cha CHADEMA, na hii ngoma ninavyoiona ikitoka Baraza kuu break ya kwanza ni mahakamani kuchukua ubunge wa Mahakama.
SAWA TU. WAENDELEE KULA FEDHA ZA UMMA TU. SIONI SABABU YA NINYI KUHANGAIKA KUWASUMBUA CHADEMA ETI WAMTAARIFA SPIKA KUWA HAWAWATAMBUI AKINA MDEE. HAWAWEZI KUSIKILIZWA HATA KIDOGO. HASARA NI YETU SISI AMBAO HIZO FEDHA ZINGEENDA KUNINUA GLOVES ZA MADAKTARI WETU WALIOTELEKEZWA NA SILIKALE HII YA JIWE. WANAHANGAIKA NA WAGONJWA WA CORONA BILA MSAADA WA SILIKALE YA SISIEM. MUNGU ANATUSAIDIA KWA SABABU AMEONA WATANZANIA HATUNA WA KUTUJALI. AMEAMUA AWE MUNGU WETU NA SISI TUWE WATOTO WAKE. TUMEKUWA YATIMA, AMEONA AWE BABA WA YATIMA.
 
Chadema hawapi makini Prof. Safari aliwashauri waende mahakamani ili mahakama watoe tafsiri juu ya ubunge wao lakini kuna kama kamchezo wanacheza cha kuuma na kupuliza inaonyesha wasi wana baraka zote za viongozi wa juu.
LENGO LA KWENDA MAHAKAMANI KWA CHADEMA NI NINI? MAANA HATA WAKIENDA HUKO HAKUNA CHOCHOTE KITABADILIKA. MAHAKAMA HAIWEZI KWENDA KINYUME NA JIWE NA JOB
 
Tufanye hivi; umetuhumiwa kwa kesi ya jinai na mahakama imekutia HATIANI na umefungwa au kuanza kuitumikia adhabu ya hiyo kesi yako ( kwa hapa sio tuhuma tena cause imeisha thibitika mahakani kwamba ulikosea ), ukiwa huko unaendelea na adhabu yako uliopewa na mahakama, ukaamua kukata rufaa mahakama inayofuata, je kipindi unasubiri majibu ya referral yako, ni halali kwako kuendelea kukaa magereza ukiitumikia hiyo adhabu uliopewa na mahakama ya chini?
 
Back
Top Bottom