Recent content by mumagoma

  1. mumagoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kampuni gani?
  2. mumagoma

    JamiiForums Tanzania NAULIZIA CHANJO Ya INI iNATOLEWA KWA BEI GANI

    Wanajamvi naomba kuuliza hospital za serikali zinazotoa huduma ya CHANJO ya INI .kwa hapa Dodoma na morogoro,nijuze
  3. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa Kozi ya geographical information and remote sensing

    Naomba kuuliza field za ajira za kozi hiyo ya GEOGRAPHICAL information and Remote sensing mtu akimaliza anaajiriwa wapi? Na kwa Tanzania inatolewa vyuo gani? Na lini imeanzishwa.
  4. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Course ya GEOGRAPHICAL information and REmote sensing

    Naulizia Ina soko la ajira Tanzania
  5. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Course ya GEOGRAPHICAL information and REmote sensing

    Naomba MSAADA WA mtu yeyote ANAYESOMA ARDHI anipe ufafanuzi juu ya course ya GEOGRAPHICAL information and REmote sensing Naomba kujua kwenye soko la ajira Tanzania kama inafanya vizur Ningefurahia nipate mawasiliano! Asante sana
  6. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Majimbo matano yataenda upinzani
  7. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Majimbo gani Yana upinzani hapo mtwara?
  8. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Mbeya kwa wajanja, naiona Mbarali na Rungwe zikibebwa na CHADEMA
  9. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

    Na iwe hivyo
  10. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Mitandao ya kijamii ina faida Sana kwetu
  11. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Kazi gani
  12. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Ccm inakulisha wewe,Kodi yet ndio inafanya kazi sio ccm
  13. mumagoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Leo twendeni tukamjibu kwenye sanduku la kura
  14. mumagoma

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Jamii forum ndiyo iko hewani
Back
Top Bottom