Diploma, degree, masters au PhD?Naomba kuuliza field za ajira za kozi hiyo ya GEOGRAPHICAL information and Remote sensing mtu akimaliza anaajiriwa wapi?
Na kwa Tanzania inatolewa vyuo gani? Na lini imeanzishwa.
Ipo ardhi tayarKama hii program itaanzishwa hapa nchini kwa upande wa Bachelor degree itapendeza sana. Kwa upande wa Masters niliwahi sikia ipo UDSM. Lakini ni mojawapo ya field tamu sana kwani inaendana na mabadiliko ya teknolojia kwa kada nyingi za sayansi. Afya, kilimo, mazingira, uhandisi, n.k
Program imeanzishwa ilaa sema RS na GIS kwa TZ bado tupo nyuma Sana ndg, vijana wengi waliobobea kwa ayo Mambo wamejikita ku-execute kazi za upimaji Kama sehemu ya kujipatia kipato kuliko RS na GIS.Kama hii program itaanzishwa hapa nchini kwa upande wa Bachelor degree itapendeza sana. Kwa upande wa Masters niliwahi sikia ipo UDSM. Lakini ni mojawapo ya field tamu sana kwani inaendana na mabadiliko ya teknolojia kwa kada nyingi za sayansi. Afya, kilimo, mazingira, uhandisi, n.k
nimekusoma baba biteProgram imeanzishwa ilaa sema RS na GIS kwa TZ bado tupo nyuma Sana ndg, vijana wengi waliobobea kwa ayo Mambo wamejikita ku-execute kazi za upimaji Kama sehemu ya kujipatia kipato kuliko RS na GIS.
UDOM ipo tokea 2013Kama hii program itaanzishwa hapa nchini kwa upande wa Bachelor degree itapendeza sana. Kwa upande wa Masters niliwahi sikia ipo UDSM. Lakini ni mojawapo ya field tamu sana kwani inaendana na mabadiliko ya teknolojia kwa kada nyingi za sayansi. Afya, kilimo, mazingira, uhandisi, n.k
ukimaliza unaajiriwaNaomba kuuliza field za ajira za kozi hiyo ya GEOGRAPHICAL information and Remote sensing mtu akimaliza anaajiriwa wapi?
Na kwa Tanzania inatolewa vyuo gani? Na lini imeanzishwa.
Vp baharini inatumika pia na jeshini je?ukimaliza unaajiriwa
1.agricultural industries
2.halmashauri
3.taasisi za mazingira
4.misitu
5.maji
6.engineering activities
7.tanapa
8.historical site
9.oceanic activities
10.TMA
zipo sehemu nyingi sana mkuu naweza kusema kila sehemu hao jamaa wanafiti kama huamini jaribu kuongeza hapo then nitakuambia wanahusikaje
Jeshini ndiko ilikoanzia na ndio technology ya drone hii inatumiaka Leo ni remote sensing , kupata taarifa za sehemu bila ya wwkufikaVp baharini inatumika pia na jeshini je?
Vp tanesco na tra inafanya vp kaziukimaliza unaajiriwa
1.agricultural industries
2.halmashauri
3.taasisi za mazingira
4.misitu
5.maji
6.engineering activities
7.tanapa
8.historical site
9.oceanic activities
10.TMA
zipo sehemu nyingi sana mkuu naweza kusema kila sehemu hao jamaa wanafiti kama huamini jaribu kuongeza hapo then nitakuambia wanahusikaje
Yap tanesco ni kuandaa mfumo unaitwa geodatabase unakuwa na taarifa za mteja na anapo patikana hata kukiwa na shida unaenda kwa mteja moja kwa moja na mfumo huu unauunganisha na satellite image inaonesha nyumba ya mtejaVp tanesco na tra inafanya vp kazi
Yap tanesco ni kuandaa mfumo unaitwa geodatabase unakuwa na taarifa za mteja na anapo patikana hata kukiwa na shida unaenda kwa mteja moja kwa moja na mfumo huu unauunganisha na satellite image inaonesha nyumba ya mtejaVp tanesco na tra inafanya vp kazi
Kama inawezekana naomba ungefafanua na ile geo informatics halafu uitofautishe na hii gis & rsYap tanesco ni kuandaa mfumo unaitwa geodatabase unakuwa na taarifa za mteja na anapo patikana hata kukiwa na shida unaenda kwa mteja moja kwa moja na mfumo huu unauunganisha na satellite image inaonesha nyumba ya mteja
Pia katikaTRA unaandaa geodata base ambayo itaonesha status ya nyumba ,matumizi ya hiyo nyumba, jina la mmiliki na taarifa zingine ili uweze kukusanya property tax na MTU akilipa itakuonesha kwa rangi utakayoichagua kupitia Raman utakayoitengeneza mkuu
Geoinfomatics imecomprise na mambo ya land survey kama cadastral survey , engineering survey,mining survey ,route survey na hiyo GIS&RS IPO ndaniKama inawezekana naomba ungefafanua na ile geo informatics halafu uitofautishe na hii gis & rs
Mkuu vp kwa mtu anaefanya kazi idara ya utumishi hii kozi pia itamfaaukimaliza unaajiriwa
1.agricultural industries
2.halmashauri
3.taasisi za mazingira
4.misitu
5.maji
6.engineering activities
7.tanapa
8.historical site
9.oceanic activities
10.TMA
zipo sehemu nyingi sana mkuu naweza kusema kila sehemu hao jamaa wanafiti kama huamini jaribu kuongeza hapo then nitakuambia wanahusikaje