Juzi nimepokea taarifa za majonzi na masikitiko kutoka kwa Vijana wangu hapa Mbeya, kwa kweli kuna haja ya Serikali yetu sasa kufuatilia kwa makini mchakato wa kupata Wadadisi Mapato na Matumizi -Kaya binafsi.
Mchakato huu (hasa kwa Mikoani) umeendeshwa kwa hila na ujanja ujanja mwingi, kiasi...
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na...
ndugu zangu hivi kweli hatuna majukumu ya kufanya? mbona basi tunatumia vibaya kodi za wananchi wetu bila huruma, kwa kujadili watu kutwa nzima?
mijadala ya namna hii haipaswi kupewa nafasi jamani, mods please, hawa watu wakiruhusiwa kuendelea hivi, watasababisha uvunjifu wa amani yetu.
ni haki yake kikatiba.
kila mtu anaruhusiwa na katiba yetu kuwa na maoni yake, na kuyawasilisha pasipo uvunjifu wa amani yetu.
askofu kama watanzania wengine anayo haki hiyo.
jamani kwanini mnakuwa negative hivi na serikali yenu tukufu?
wewe tuma huo wasifu wako halafu iachie mamlaka ifanye kazi yake. acheni kuishi kwa hisia ndugu zanguni.
Ndugu zangu watanzania hakuna ukweli wowote juu ya hizi tuhuma. Haya mambo yanaongelewa kiushabiki na kuchafuana kisiasa tu.
Labda niwakumbushe tu kwamba, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo 2015, kuna mengi yata semwa hapa lakini hizi ndio siasa zetu, na siku zote mti wenye matunda ndio...
Nadhani ni suala la kimtazamo tu. Tukifanikiwa kurejea uzalendo kwa Taifa, kujituma kwa bidii na kujielimisha kwa mambo mbalimbali, tutasonga mbele.
Kuna fursa tele Tanzania hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.