Haya sasa mishahara yenu tayari

Haya sasa mishahara yenu tayari

matumizi gani wakati vimishahara viduchuuuuuuu
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
basi wa kulaumiwa na taaluma yako, imeshindwa kukufungua mawazo! kuna fursa tele ndugu, mishahara duniani kote haitoshi
 
Kwa wale waliocheleweshewa wamshukuru mcheleweshaji kwa maana huu wa Januari unakuwa kama una siku sitini.
 
kama ww uko hapa sisi tutafanyeje?mwl nyerere alisema viongozi muwe mfano
ndiyo hivyo tunaiga mfano wako
 
basi wa kulaumiwa na taaluma yako, imeshindwa kukufungua mawazo! kuna fursa tele ndugu, mishahara duniani kote haitoshi
wewe fursa uliyonayo ni kukesha tu jf siku nzima?
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
 
Mbona unam'changia wazirihahahahahaha

jaribu kutumia busara kidogo. wakati mwingine uwe unaishughulisha
akili yako basi
 
bila shaka, ila ni kawaida imeshakuwa mazoea sasa

Hatuwezi kuichukulia kitu ambacho kinaweza tatulika mazoea,hakika naudhika sana,unaamua kuchelewesha haki ya mtu kwa makusudi,alafu wanadai makosa ya halmashauri,what the hell kind of government is this!nashangaa sehemu zingine mishahara inaingia kila tar 24,but some damn manicipal inaenda mpaka tar 7!Mulugu come on!
 
ndugu hapo kuna shida (kama hilo jambo lipo kweli), nchi hii ni kubwa sidhani kama taarifa zisingekua zimefika sehemu husika, unless ni majungu tu
 
jaribu kujibanabana tu, pesa ya mshahara sio ya kulewea ama kufanyia starehe.
jiulize inakuaje wanakijiji wasio na mishahara wanaweza kumudu mahitaji yao? kwanini isiwe wewe mwenye mshahara?

Mhe. Naibu Waziri naona umejiunga hapa JF ila haujawa verified, karibu sana zanzibar, msumbiji , pemba na tanganyika, wasalaam.
 
Mheshimiwa Naibu Waziri karibu sana. Naona maswali yetu mengi ya msingi yatapata majibu sasa!
Kwa kuanzia tu, tungependa kujua kuhusu historia ya Muungano wetu.
 
Hawezi kuwa mwenyewe huyu, kwani yeye hajipendi? Mijadala yote hii kuhusu udhaifu wake halafu ajitokeze?
 
Huu ni usengenyaji,ngoma bado bilabila, naona wamelipa maticha na madokta, wazee wa posho mtulie kidogo.
 
Hawa watu nadhani wanafanya kazi kwa mazoea hadi leo hii wafanyakazi wa vyuo vikuu kama DUCE hamna mshahara
 
Back
Top Bottom