Recent content by muku

  1. muku

    JamiiForums Tanzania Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

    Asante sana kwa maelezo yako mtaalam.
  2. muku

    JamiiForums Tanzania Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

    Habari wana JF, Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement? Asanteni.
  3. muku

    JamiiForums Tanzania Usaili NHC: Jinsi Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma inavyozidi kupoteza weredi

    Mkuu mbona nimeandika issue ya randomness katika shortlisting na moja ya concern yangu. By the way najaribu kushade light kwenye mapungufu na sio kulalamika, maana siguswi moja kwa moja na interview yoyote ya sekretariat ya ajira.
  4. muku

    JamiiForums Tanzania Usaili NHC: Jinsi Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma inavyozidi kupoteza weredi

    Ujifunze kuelimika. Kwenda darasan pekee hakutakusaidia kuelewa kitu alichoandika mwenzako na ukacomment accordingly.
  5. muku

    JamiiForums Tanzania Usaili NHC: Jinsi Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma inavyozidi kupoteza weredi

    Kaimu Katibu ma Secretariat ya Ajira. Siku za hivi karibuni kumekuwa na manung’uniko ya watu wanaofanya usaili wa mchujo jinsi secretarit inavyosimamia usaili huo. Kwanza, kumekuwa na mlolongo wa dalili za kuvuja kwa mitihani ya mchujo kitu ambacho kimepelekea mitahani inayooonekana kuwa na...
  6. muku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu akipigwa na mkewe, haya ni mapenzi ya dhati au kuna walakini?

    Kuna utafiti umetangazwa Azam kwamba wanaume wa Iringa wanaongoza kwa kupigwa na wake zao....ila wakipiga hawatoi taarifa katika dawati jinsia ile kureport unyanyasaji huo....[emoji15] [emoji15]
  7. muku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu akipigwa na mkewe, haya ni mapenzi ya dhati au kuna walakini?

    Kumbe ule utafit uliotangazwa jana sio wa kupika...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. muku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu akipigwa na mkewe, haya ni mapenzi ya dhati au kuna walakini?

    Nyie ni watu wa Iringa eee...
  9. muku

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Nauli ya kutoka Kahama hadi Dodoma kwa Dar lux ni bei gani?
  10. muku

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Hotel ya Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu' yafunguliwa

    Iko maeneo gani kwa Mbeya? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. muku

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    We unaona complications zilizopo kupata hicho kibali unadhani ni leo wala kesho?jitambue wewe ofisi za serikali unazifahamu au unaziskia.
  12. muku

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hiyo inatokana na mahali au chuo unachofanyia kazi....kuna vingine unatoka na mshahara tu vingine benefits zipo nying nying
  13. muku

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TANGAZO KWA UMMA MATUMIZI YA HELIKOPTA MAENEO YA HADHARA NA MIKUSANYIKO YA WATU UTANGULIZI Tangazo hili linatolewa kwa lengo la kutoa mwongozo kwa watoa huduma za helikopta, marubani wake na umma kwa ujumla kuhusiana na hatua za kiusalama zinazopaswa...
  14. muku

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hiyo ni kabla ya ongezeko la mwaka huu kwa hiyo ilikuwa take home ni 814000 ila katika ongezeko inaonyesha imekuwa kama 1200000 ambapo take home ni kama 895000 hv
  15. muku

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ni 1091000 basic
Back
Top Bottom