Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

hapo ndio usiseme.
wakati naenda nilipika wali wangu na nyama nikakausha safi nikabeba juice...hotelini pale nakati ya singida nilifanya kushuka tu kwenda toilet ila nilibeba kwanzia chai.
sasa kazi ikawa kurudi nililala mwanza asubui nikanunua chai tupu.....
bwana wewe tulivofika sijui ndio tabora sijui wapi pale kuna bwawa kama bahari kwenda kuuliza chips tuchps tuwili ef6
wali sijui ef7
sikula mpaka saa7 usiku nmeshuka ubungo nikaenda home njaa inaniuma hamu sina...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetoa tu elf 7 ya wali kwa nn ujikondeshe mkuu
 
Naomba kujua tu bus litokalo dar to Mwanza lenye kuonesha video za porno..
Manake ma bus mengine ni.michosho tu utawekewa ma movie ya kizee au nyimbo za kwaya matokeo yake unapata mchoko.Mara mbili ya safari na kelele za humo
 
Kwa wakaz wa Mji wa Mtwara naona baada ya route za Tanga-Dar-Lindi-Mtwara/Masasi kuanzishwa na Kampuni ya Tashrif,Maning Nice nae akaanzisha ile ya Moro-Dar-Lindi/Mtwara. Na BM nae akaanzisha ya Moro-Dar-Lindi-Masasi(japo nasikia lipo la kwenda Mtwara ingawa sina hakika)!
Sasa naona Shabiby kafunga kazi. Katika mabasi yake mapya aliyoyaleta,kuna linalotoka Dodoma kwenda Mtwara na kutoka Mtwara kwenda Dodoma kila siku. Hakuishia hapo,Shabiby analo basi linaloanzia Dar kwenda Mtwara na Mtwara kwenda Dar kila siku. Wana kusini mushindwe wenyewe usafiri uko mwingi tena mabasi mazuri kabisa. Buti la zungu nae kaleta gari mpya safi kabisa. Kiukweli,usafiri uko poa. Bila kusahau Super Feo safari za Dar-Songea kupitia njia ya Kibiti-Lindi hadi Masasi-Tunduru/Namtumbo
 
tahmeed mpya
 

Attachments

  • IMG-20170928-WA0002.jpg
    IMG-20170928-WA0002.jpg
    42.4 KB · Views: 242

Similar Discussions

Back
Top Bottom