Recent content by mukoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anayelipa kodi, anaweza kupata TIN number?

    Mfanyakazi analipa kodi kwa kutumia TIN ya mwajiri wake hivyo huwezi kupewa TIN kama haujihusishi na biashara au hauhitaji leseni ya udereva
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi warushiana risasi na Polisi, Clock Tower jijini Dar

    Sio kanyaboya ya kupoteza attention ya yaliyotokea Ukonga
  3. M

    JamiiForums Tanzania TRA mnalipeleka wapi Taifa? Hali ya hewa sio shwari na wafanyabiashara

    Nimeipenda hii, utakuta mfanyabiashara anaigiza faida ya zaidi ya sh 10m kwa mwezi analipa kodi ya 150000 au chin ya hapo. Ukiangalia upande mwingine, mfanyakazi wa kipato sawa na hcho analipa kodi ya zaidi ya sh 2.5m. Wiz wa kodi ndio unafanya wafanyabiashara kuogopa kutumia EFDs machines
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi ukifanya hivi nchini China,adhabu yake ni kufungwa jiwe na kutupwa baharini.

    Umemsoma mtoa mada?! Kasema ingekua China au Korea... Ila kwa vile nchi yetu ni yenye watu wasiojali uwepo wao mahali flani na kama usemavyo hakuna sheria za kuwabana ndio inatokea anashtuka na kuanza kupiga makofi au kusema ndioooooo bila ata kujua nini kimeongelewa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Na leo bado mgomo unaendelea?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

    Tayari walichaguliwa wamepigiwa simu na kuchukua barua zao jana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TRA

    Ashukuriwe Mungu, jana asubuhi mida ya saa 3 kasoro niliitwa saa nne nikawa nimepata barua yangu as ATO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TRA Oral interview

    ATO 1. Tell us about yourself? 2. Tax due dates? 3. Are there penalties if one fail to pay tax on due date? 4. Why people avoid to pay tax? 5. How to solve this problem? 6. Why do you want to work with us? 7. What are your strength?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Tatizo ni daftari kutofanyiwa marekebisho. CDM ina mvuto kwa vjana ambao % kubwa hawajaandikishwa kwenye daftari.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    KB Mo town.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    CCM itashinda 27-0
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    kama ni kweli hongera CDM
  13. M

    JamiiForums Tanzania China destroys 6 tons of illegal ivory in push to protect African elephants!

    Bei ya pembe imeshuka kutokana na bidhaa kuwa nyingi soko... Hapo wanachofanya ni kupunguza supply ilikwamba bei ipande na kuongeza uvunaji ndovu... Serikali ya SA wao ndio wapo sawa, karibu ya tani 100 walizozikamata wanataka waziingze sokoni ili kuongeza supply na kushusha bei. Bei ikishuku...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya tra ass. Accountant

    ni kweli kabisa, mie mwenyewe nimeitwa kwenye interview ya writen awamu ya pili bila ya kujuana na m2 yeyote iwe NBAA au TRA Hii inaonyesha kuna fairnes
  15. M

    JamiiForums Tanzania TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    Na mimi nimo, nimepata email jana ila sijapigiwa simu hadi sasa.
Back
Top Bottom