Hayo majina yote uliyataja yanadhihirisha ni kwa jinsi gani mfumo Islamic ulivyoleta mila asili tamaduni na dini ya Arabun kututawala ila Imana is Great .
Akhsante nimekuelewa vzr na yote ni ukweli mtupu na huo mfn; wa Kigoma ni ukweli mtupu kama huamini nenda Kasulu + Kibondo mjini na vijijini then fanya tathmini.
Wahindi waarabu wazungu wote wahamiaji tuu katika bara la Africa ila mimi/ sisi waafrika weusi Bantu, Khoisan, Cushitic na Nilo Saharan ndyo wenyewe na wewe unayeshoboka na Imani au Tamuduni au Mila za hao Wahindi/ Waarab/ Wazungu Wewe ni kafir tuu hata kwa majina yenu yanathibitisha Ukafir wenu
Nimewaelewa wapo hata wa kutoka nchi jirani wakikuona unamajina ya kiha kiha wanadhani na wewe ni FDLR na wengine wanadhani ni mmoja wao wa FNL... abahutu front
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.