Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,753
- 46,272
Hujui historia ya Mwanza toka enzi ya mkoloni hayo yote ni maeneo ya wahindi, pamoja na Nyerere kuwapora mali zao.Kwa kipindi kirefu kumekuwepo na sintofahmu jijini Mwanza hasa katika mtaa maarufu wa Makoroboi ambao hutumiwa na waenda kwa miguu wengi sana jambo ambalo lilikuwa likiwafanya machinga kung'ang'ania kufanya eneo hilo. Sasa baada ya machinga kupewa eneo laStendi ya Tanganyika Bus kwa muda, wahindi wameamua kuweka mageti na kujenga kuta ili kuziba kabisa hiyo Njia.Kwa hiyo inabidi kutafuta njia mbadala. Sasa najiuliza hivi jiji linawezaje kuruhusu kufunga hii njia ambayo iko katkikati ya jiji kwa miaka nenda rudi. Hivi kweli hata waenda kwa miguu bado wana madhara kwa misikiti ya wahindi ambayo tayari imejengewa kuta? Sitaki kuamini kwamba watu wa jiji wamewekwa mifukoni mwa hawa wenzetu.
Nyie wote mmetoka maporini mmewakuta wahindi hapo.
Hata hapo standi ni sehemu ya Tanganyika bus.