Dr Che Guevara
Member
- Jan 19, 2015
- 71
- 33
Sijutii kuadiactvate akaunti yangu kule FB
Ila namiss sana post za Edo kumwembe.
Edo mwenyewe kasepa.. anarud kwa machale, now tupo nane whatsap
Sijutii kuadiactvate akaunti yangu kule FB
Ila namiss sana post za Edo kumwembe.
unajua maana ya like?????
Mimi nina pending friend requests zipatazo 82. Sijazikubali maana siwajui na hawanifahamu
Mimi ni mumeo.
Mimi ni mumeo.
Kama mtakumbuka kipindi cha nyuma watumiaji wa Internet tulikuwa wachache na wengi wetu hata uwezo wa kumiliki laptop tulikuwa hatuna tulitegemea kulipia one hour kwenye cafe kusoma email zetu na kuperuzi hapa na pale.
Sasa kuna mapinduzi makubwa ya teknolojia na mchina ndio kamaliza kazi na Vitecno na Huawei.Baada internet kushika kasi wambea wa mtaani nao wameamuwa kutufuata mitandaoni mtu anakuomba urafiki ukimkubali kimya chake utadhani hayupo kumbe kila siku anafuatilia tu maisha yako.
Nina friend request kama 10 hivi nimeziweka pending, mchina katuletea shida.
Hawa wasiokufahamu na wewe huwafamu ndio muhimu zaidi kuwa nao friend kuliko mtu mnayetoka nyumba moja.
Jitahidi kuwa na new connection siyo kila siku watu walewale na mawazo yaleyale.
Hawa wasiokufahamu na wewe huwafamu ndio muhimu zaidi kuwa nao friend kuliko mtu mnayetoka nyumba moja.
Jitahidi kuwa na new connection siyo kila siku watu walewale na mawazo yaleyale.
hili halina ukweli huwezi kufananisha JF na Fb hata siku moja tofautisha usingizi na kifo .Mbona ht humu yapo hayo