kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,981
- 17,380
DRC kuna Wahutu wengi (FDLR) waliotwangwa na Kagame enzi zile na kukimbilia Mashariki mwa DRC, sasa wanatakiwa watwangwe na kunyang'anywa silaha zao kama ilivyokuwa kwa M23, je, ni sawa kwa jeshi letu (JWTZ) kushiriki kuwatwanga na kuwapokonya silaha wapinzani hawa wa Kagame walioko DRC?