Recent content by mujunimunu

  1. M

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Asante kwa elimu hii, this is helpful
  2. M

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Asante sana mkuu, nafkiri kuanza kama agent,Mungu akijalia business ikakua, nitajaribu kuwa broker
  3. M

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Heshima mbele, Natambua kuwa, JF kuna wataalamu na wenye uzoefu mbalimbali. Naomba ushauri namna ya kuanzisha biashara hii. Natanguliza shukurani
  4. M

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Asante mkuu, hivi ugonjwa wa ngiri unatibika? Je kuna doctor ambaye ni mtaalamu wa ugonjwa huu nimtafute badala ya kuwa najaribu hapa na pale? Asante sana
  5. M

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Nina tatizo la tumbo kuunguruma na kukosa choo. Hili hunitokea kukiwa na baridi. Nikienda choo hutoka kama makamasi hivi. Naomba msaada wa kujuzwa huu ni ugonjwa gani na tiba ni nini. Asante
  6. M

    Complete engine for suzuki kei inahitajika - used au mpya

    Looking for a complete engine of Make: suzuki Model: kei, Engine # F6A, Chasis: GF-HN11S, year: 2000
  7. M

    Ephraim Mafuru aula Serengeti Breweries Limited

    Sijaelewa kwa nini hii ni habari
  8. M

    Doctor bingwa wa mambo ya uzazi

    wakuu, mimi na mkw wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa mwaka wa pili sasa blila ya mafanikio. Tunafikiria kuonana na dactari atakaye tushauru nini cha kufanya pamoja na kutupima. Msaada wa jina la dactari na hospitali anapopatikana.
  9. M

    Hodi jwana amii forums

    Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.
Back
Top Bottom