Recent content by MUIKOMA

  1. MUIKOMA

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    lli kuondoa mvutano unaendelea katika bunge la katiba napendekeza kura zipigwe Mara mbili yaani kwa siri na uwazi na zitakazokuwa nyingi ndo zichukuliwe kama maamuzi sahihi. Nawasilisha kwa michango zaidi
  2. MUIKOMA

    CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

    Mbinguni vipi Mkuu... Kama marais wa nchi hizo wangekubaliana na maoni ya wananchi, vita isingewafika. Huoni kama amani ya nchi iko mikononi mwa watawala hawa?
  3. MUIKOMA

    CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

    Ndugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J Kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W Slaa hasa ukizingatia...
  4. MUIKOMA

    Ungependelea Chama gani kiwe chama kikuu cha upinzani baada ya CHADEMA kuchukua Nchi?

    Huyu Jamaa ananitafutia ban. Hawa watu waliolelewa kwa pesa za ufisadi wanashida mno, na kwa taarifa yako ------ ameiagiza TISS ifanye uchunguzi wa kina ili kubaini ndani ya CCM ni nani anakihujumu chama kwani uwezekano wa kushinda 2015 haupo tena. Tiss wamemjibu kuwa njia pekee so far ya CCM...
  5. MUIKOMA

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Nenda ndugu yangu.... Waambie na wenzako muondoke mapema kwani hatuwataki
  6. MUIKOMA

    kwa wana-serengeti mlioko MUGUMU: Nini kinaendelea muda huu uchaguzi wa NEC CCM?

    Leo ndo siku ya mnyukano kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya wilaya yetu ya Serengeti kwa CCM. Yeyote mwenye kujua kinachoendelea hapo atujuze kupitia uzi huu. Zaidi tunaomba uchaguzi uwe wa amani na utulivu.
  7. MUIKOMA

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    Poa tu bora kazi zisimame kuliko ujinga wanaotufanyia.
  8. MUIKOMA

    Kwa waliopitia level ya FTC naombeni msaada wenu kielimu

    Mkuu cheti hana, ni result slip toka baraza la mitihani
  9. MUIKOMA

    Kwa waliopitia level ya FTC naombeni msaada wenu kielimu

    Wana bodi hamjambo? Kwa wataalam waliopitia level hii ya FTC ninomba kujua kama mdogo wangu anaweza kupata chuo cha kuendelea na elimu juu kwani ana B moja ya mathematic, C tatu, D moja na F moja ya FTC in highway engineering kutoka D.I.T mwaka 2002. Alishindwa kusuppliment kutokana na...
  10. MUIKOMA

    Kwa waliopitia level ya FTC Naombeni msaada kielimu

    Mkuu hapo sijakusoma. Nijuze vizuri.
  11. MUIKOMA

    Kwako mh. Spika, mama makinda: Umetupandishia gharama za muda wa hewani watanzania

    Mkuu, umeanika hadi maini yameonekana. KUMBE ndo source ya kamchezo kote!!!!!!!!!!............ Haya bana Ngoja voda waziri kututengenezea voucher za tsh. 450.
  12. MUIKOMA

    Kwa waliopitia level ya FTC Naombeni msaada kielimu

    Wanabodi hasa mliopitia FTC Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa kusuppliment kutokana kupitiliza muda wa miaka 3 iliyokuwa inaruhusiwa kipindi hicho. Hiyo B ni ya...
  13. MUIKOMA

    Kwa wana Serengeti: Mbunge wetu ametusaidia nini?

    Ni muda sasa tangu tumchague Dr. Kebwe kuwa mbunge wetu lakini sijui hadi sasa katufanyia nini cha kumkumbuka. Huyu bwana naona hata lugha ya kiswahili kajifunzia ukubwani. Kwa yoyote mwenye kuyajua mema yake kwetu atujuze
  14. MUIKOMA

    Selemani Jafo (CCM) awasilisha hoja ya kupitia upya sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Ni kweli hata mimi nimelisikia na kushuhudia kwa masikio yangu. Sijui imekaaje hii na ni nini lengo la hao waliopinga?.
  15. MUIKOMA

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Vipi kuhusu sheria ya ndoa? Anatakiwa kuolewa akiwa na miaka mingapi?
Back
Top Bottom