Kwa kweli leo nimeamini huyu mama huwa anatoa conclusion kinyume na matokea kabisa. dIngawa nimefurahi kuona sheria itapitiwa upya, ILA TO BE SINCERELY, waliosema HAPANA ni wengi kuliko waliosema NDIYO
CCM kivipi tena? ninavyoelewa mimi hizi social security benefit scheme ni parastatal organisation zilizo chini ya kamati ya poac iliyopo chini ya MH zitto tena kwa ,maswala yanayohusu fedha na maslahi ya wastaafu mara kadhaa nimemsikia akisema mfano kwa NSSF, PPF, PSPF NA LAPF Kuwa hali ya mifuko hii ya mwisho miwili ni mbaya ukilinganisha na PSPF ambao hauna uwezo wa kuwahudumia wastaafu wake kwa madai kuwa michango mingi ya mwajili kwa maana ya serikali haipelekwi kwa wakati na kabla ya 1999 kuanzishwa kwa sheria mpya haikuwa inachangiwa na watumishi.Na Mh. Mnyika yeye atawasilisha marekebisho ya sheria ipi? CCM wajanja sana sheria wapitishe wenyewe kwa wingi bado warudi tena kuipinga kwa kuomba irekebishwe.
Kwa kweli leo nimeamini huyu mama huwa anatoa conclusion kinyume na matokea kabisa. Ingawa nimefurahi kuona sheria itapitiwa upya, ILA TO BE SINCERELY, waliosema HAPANA ni wengi kuliko waliosema NDIYO
CCM kivipi tena? ninavyoelewa mimi hizi social security benefit scheme ni parastatal organisation zilizo chini ya kamati ya poac iliyopo chini ya MH zitto tena kwa ,maswala yanayohusu fedha na maslahi ya wastaafu mara kadhaa nimemsikia akisema mfano kwa NSSF, PPF, PSPF NA LAPF Kuwa hali ya mifuko hii ya mwisho miwili ni mbaya ukilinganisha na PSPF ambao hauna uwezo wa kuwahudumia wastaafu wake kwa madai kuwa michango mingi ya mwajili kwa maana ya serikali haipelekwi kwa wakati na kabla ya 1999 kuanzishwa kwa sheria mpya haikuwa inachangiwa na watumishi.
Mh. Mnyika si ndiye alikuwa akiandaa hii hoja imekuwaje tena?
CCM kivipi tena? ninavyoelewa mimi hizi social security benefit scheme ni parastatal organisation zilizo chini ya kamati ya poac iliyopo chini ya MH zitto tena kwa ,maswala yanayohusu fedha na maslahi ya wastaafu mara kadhaa nimemsikia akisema mfano kwa NSSF, PPF, PSPF NA LAPF Kuwa hali ya mifuko hii ya mwisho miwili ni mbaya ukilinganisha na PSPF ambao hauna uwezo wa kuwahudumia wastaafu wake kwa madai kuwa michango mingi ya mwajili kwa maana ya serikali haipelekwi kwa wakati na kabla ya 1999 kuanzishwa kwa sheria mpya haikuwa inachangiwa na watumishi.
Sasa wakuu inaanza lini kujadiliwa na kurekebishwa?watuambie kabisa huu upuuzi wao hawataurudia kamwe!wafanyakazi wako radhi woote waache kazi kila mtu apewe chake akafie mbele