Kwa waliopitia level ya FTC Naombeni msaada kielimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliopitia level ya FTC Naombeni msaada kielimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MUIKOMA, Aug 18, 2012.

 1. MUIKOMA

  MUIKOMA Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabodi hasa mliopitia FTC
  Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa kusuppliment kutokana kupitiliza muda wa miaka 3 iliyokuwa inaruhusiwa kipindi hicho. Hiyo B ni ya mathematics. Nifanyeje ili aedelee na degree au advanced/higher diploma? Naombeni Michongo yenu wapendwa.
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh..ngoja wataalam waje..
   
 3. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  akiaply open university anpata bila wasiwasi mdogo wang alikua na sup mbil FTC na sasa hv yupo FTC
   
 4. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kuna Bridging + Pre entry Courses zinatolewa na vyo kama MUST(Mbeya University of Science & Tech'), DIT na Arusha, Kwa mwaka huu mmeshachelewa.
  Labda msubiri mpaka mwakani au mtafute njia nyingine kwenye vyuo mbadala, and in most case it will lead to different discipline from Engineering.
   
 5. MUIKOMA

  MUIKOMA Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo sijakusoma. Nijuze vizuri.
   
Loading...