Recent content by Muigai Jr

  1. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Niliwahi kuapa na leo hii naapa tena mtoto wangu awaye yoyoote,,kamwe awezi kujiunga na jeshi lolote hapa nchini hivoo...siwezi kumwaga mbegu itakayokuwa kibaraka na kutumika kumwaga damu zisizo na hatia
  2. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuga kitambi

    Kufuga tumbo ni kukosa akil.
  3. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuga kitambi

    Huwa nsjiuliza mtu mwenye jitumbo anahemaje...huwa ina ni frustrate sana nikishiba..nahema kwa shida.
  4. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

    Kwa hiyo bogus wako aliona akimzibua mtaro basi malkia kimwana atatulia?? Na ni kwa nini atulie na mme wa mtu?? Acha aendelee kuliwa hela mpaka akili zimkae sawa...jiandae kukosa kazi.
  5. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

    Lema ni tapta
  6. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Wangetakiwa kumtia na dole
  7. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuna watu wanadhani Zanzibar inapendelewa kwenye Muungano

    Joka kuu ni hili zee
  8. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Mbona saa hivi inatumika km mali ya mtu..hamna kitu wapuuzi tuu..kuteka na kuf*ra nayo ni Akili?kuogopa mawazo makubwa nayo ni Akili??
  9. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Ni hso hao wanaopwkekeshwa na shoga mmoja..ni wapuuzi tu km wapuuzi wengine.
  10. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Masikitiko yangu ,wengi wanerudi bila meno..sijui kuna biashara ya meno huko bondeni.
  11. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

    Mwamba mmoja na nusu,Asante Baba!
  12. Muigai Jr

    JamiiForums Tanzania CCM jiulizeni Kama Makamu wa Rais wa nchi anafukuzwa kwa kuwa mkweli wewe Mzalendo bado upo CCM!

    Ni enyewe Pascal, Kingine ni kuizima ndoto yake tuu ya kudondokewa na dodo km ilivyokuwa kwa JPM
Back
Top Bottom