Angalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.
Wasio na akili watafikiri mbunge anataka kupigiwa saluti wakati anafikisha ujumbe kuwa wabunge wa upinzani hawapewi heshima inayostahili kwa hiyo hata wakienda kueleza matatizo ya wananchi hayapewi uzito haiitaji phd kujua hili.
Mtu anakurupuka anasema kwenye sheria hakuna longolongo............mbona siku ile ya kwanza hakimu alikuwa tayari kutoa dhamana akabadilika ndani ya dakika kumi??
Nimesoma alichoandika Nape mpaka siamini kuwa ni katibu mwenezi wa chama kikubwa kama CCM. Jk kwa kusema kuwa wanawake wamepewa fursa kupitia Samia sio aina ya ubaguzi?? Rais hatotoka kaskazini je?? Hilo haliitaji kuandikiwa taarifa kwa vyombo vya habari?? Pia Lowassa hakusema kuwa wampe kura...
Hivi CCM wana lipi la kusema mpaka watu mbishane?? Tuanze kuulizana yafuatayo Kigoma imekuwa Dubai?? Meli zimeletwa?? Ambulance je?? Piga kura ya mabadiliko hata Lowassa akipanda jukwaani akakaa kimya. CCM hawana uwezo wa lolote.
Nape lazima atushawishi kwa hoja lakini sio ya Richmond!! Kwa kusema Lowassa ni fisadi Nape anaivua nguo serikali kwa kushindwa kumshughulikia. Pia atuelezee khs Ngeleja, Tibaijuka, Chenge, N.k pia atueleze sbb ya kubakia maskini kwa miaka yote. Atuambie pia mikakati yake ya kuanzisha CCJ...
Kura za CCM hazikuwa zinatoa picha sahihi za maamuzi ya wananchi kwa sababu kulikuwa na uchakachuzi wa hali ya juu!! Kuna baadhi ya majimbo jumla ya kura zinafika laki moja ila siku ya upigaji kura hata mistari haikuonekana.Kama kuna nafasi kwenye hilo jimbo apewe agombee anaweza kushinda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.